Yawaje sasa mwapeana migongo, kulikoni?

Yawaje sasa mwapeana migongo, kulikoni?

anashndwa kujiamini kwenye key bod ataweza faraghani?

gfsonwin mimi naogopa kuunga mkono khoja maana mlengwa Sumu ananipaka mafuta kwa nyuma ya chup akidai ya kuwa mimi ni mshenga zima taaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Never give up Zamani hawakuwa waangazaagngaza kama siye...............siku hizi macho ni balbu......na shingo za kugeuzwa kama ya kinyonga...................kisa tunawakiana tamaa kupindukia...................

Hivi zile ndoa za mikataba tunazozisikia huko DUNIANI hazijapiga hodi hapa TZ?
 
nahisi ndimu yake haikozi babuuu..............

gfsonwin yawezekan akabisa hisia zako zikatokea kinyume chake................hapo ndipo udende utakapokutiririka..............bila ya ukomo kama kile kipindi cha "Matnzania" ambacho nacho kinatamba hakina ukomo.........
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru sana. Naomba umuulize gfsonwin kama yupo tayari kuishi na Sumu kwenye raha.

gfsonwin hebu sema neno tu a roho ya kijana wetu Sumu itulie..........................tuli........
 
Last edited by a moderator:
mwambie hivi aingie Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili! kisha ajitathmini lol!

Sumu kuna huo uzi ulikwisha upitia na kujipima kama hivyo viwango unavifikia.....................maana hivyo ni vya kimataifa........................nafikiri wasiwasi wa binti yangu gfsonwin ni kuwa asije mbele ya safari akukutupia mgongo ukaanza kulalama kwa kushindwa kuwajibika ipasavyo..................
 
umeona enh!!
kasema ana baraza sijamuuliza zge lake na slab ikoje manake naweza kuikuta ni chakavu atii na slabu linavuja.
 
Mwambie kweli mimi na kupepesa kwangu macho muda wote hapa MMU nitaacha kuupitia kweli huo uzi? Au ndo ananitafutia sababu tu? Mimi siyo kusugua tu, hadi kuosha naosha. Viwango ni vya kimataifa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin hebu sema neno tu a roho ya kijana wetu Sumu itulie..........................tuli........

aaah! baba..............sasa jina lake tu linatisha wataka niseme neno kweli watitakia heri??

baba yangu nakupenda, tena ninakuheshimu
baba yangu nakupenda tena ninakuthamini
baba yangu nakupenda, tena ninakujali
babayangu nakupenda , kwanini unanitega??

sijui nianzeje, ila naomba nifunguke
ili na yeye aje, umwite afunguke.
kijana Sumu asije , niletea dhoruba
baba yangu nakupenda , kwanini unanitega??

Sumu jinalo latisha, hofu yanijaa moyoni
mwenzio naogopa kwisha, uhai ukanitoa duniani
baba muda haujesha, fikiria kwa makini
mwanao nastahili kwenda, kwa huyu kijana Sumu??
 
umeona enh!!
kasema ana baraza sijamuuliza zge lake na slab ikoje manake naweza kuikuta ni chakavu atii na slabu linavuja.

gfsonwin hata kama inavuja si ili mradi ikusetiri mvua?
 
Last edited by a moderator:
Mwambie kweli mimi na kupepesa kwangu macho muda wote hapa MMU nitaacha kuupitia kweli huo uzi? Au ndo ananitafutia sababu tu? Mimi siyo kusugua tu, hadi kuosha naosha. Viwango ni vya kimataifa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
nenda kasome post #71
 
aaah! baba..............sasa jina lake tu linatisha wataka niseme neno kweli watitakia heri??

baba yangu nakupenda, tena ninakuheshimu
baba yangu nakupenda tena ninakuthamini
baba yangu nakupenda, tena ninakujali
babayangu nakupenda , kwanini unanitega??

sijui nianzeje, ila naomba nifunguke
ili na yeye aje, umwite afunguke.
kijana Sumu asije , niletea dhoruba
baba yangu nakupenda , kwanini unanitega??
Sumu jinalo latisha, hofu yanijaa moyoni
mwenzio naogopa kwisha, uhai ukanitoa duniani
baba muda haujesha, fikiria kwa makini
mwanao nastahili kwenda, kwa huyu kijana Sumu??

gfsonwin kumbe nawe umo kwenye haya matenzi ya mahaba.............................kweli hata mimi nisingependa binti yangu anyweshwe Sumu...........na hii nina wasiwasi ni ya Black mamba............akikudunga tu kwisha khabari yako
 
Last edited by a moderator:
Nimependa saaaaanaaa!

Bravo Ruta

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
...dah!...best umenkumbusha zama zile za redio moja tu RTD,kipindi cha malenga wetu na mghani maishari el maalufu Hathuma Alfani..."ukitaka ugomvi na mutu ya nyumbani(jaluo) mwambie aghani shairi"....mkuu unatisha...
 
me ndo mana nimemuuliza ajiseme mwenyewe kama inakoza.

gfsonwin naona polepole umeanza kumtema kijana wa watu...............maana hivyo viwango naona ni vya juu sana.........labda ushuke chini.
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin kumbe nawe umo kwenye haya matenzi ya mahaba.............................kweli hata mimi nisingependa binti yangu anyweshwe Sumu...........na hii nina wasiwasi ni ya Black mamba............akikudunga tu kwisha khabari yako
like father like daughter lol!
 
Back
Top Bottom