Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Nasikitika kuwa Charles Msonde ndiyo anakaimu hii nafasi nyeti. Msonde hana maadili kuitumikia hiyo nafasi maana ni mwizi. alipokuwa udsm kama kiongozi wa wanafunzi aliiba hela,alichonga mihuri feki ya malipo mpaka wa jeshi. Aliandika barua ya kukiri uwizi akalipa kidogo
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Tunasomeshwa kuhusu uadilifu toka madrasah, hapo hautuingii hata umalize vyuo vikuu vyote alivyotembelea Slaa.
Huyu mama kulinda heshima yake na elimu yake ilikuwa aachie nafasi pale serikali ilipoamua kukarabati alama za matokeo ya mitihani ktk utaratibu wa kichina wa kuangamiza elimu.
Heee hii muvi kumbe haijaisha tu
Nilikuwa nakuheshimu sana dada yangu lakini kwa mchango wako huu,
Umejipunguzia Heshima ya Utu wako na Umewapatia Heshima ya Mashaka
watu waliokuheshimu kwa muda mrefu pamoja na waislamu wenzako.
Nijambo la aibu ktk zama hizi kuingiza chembechembe za udini kwenye Professionalism
ktk utendaji. hupaswi kujutia kuwa muislamu, kinachotakiwa ni kusoma kwa juhudi
na mhimizane kubadilika. Nyinyi upande wa pili wa dini kuna mambo fulani mlishakosea
huko nyuma ndo kinachowatafuna hadi sasa na mnadhani adui yenu ni NECTA
chini ya NDALICHAKO, Real you are fighting the wrong enemy.
Hapa ndo mnaponikumbusha Luddism na chartism huko England.
I stand to be corrected.
Wewe unafikiri sakata linalomuondoa hapo ni lipi?
hivi wakuu mnaonaje zile shule za kanisa zilizokuwa zimetaifishwa na serikali zirudishwe kwa wamiliki wa awali...maana sasa serikali inauwezo wa kujenga shule na kuzihudumia..
Tumeshayazoea haya menzetu kazi kuhamishana ili watanzania wasahau this time hatudanganyiki!Bado hawajatatua tatizo
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Mkuu, huyo dada yako nauhakika kama ana ndugu mkristo au ndugu wa mumewe kama yupo Mkristo, nahakika hiyo nyumba hua hakanyagi! Dada anaonekana anachuki kubwa mno na watu wa imani ya Kikristo.Huenda ukawa mfuasi wa Al-Shaabab, hivi akiwa mwislamu atawafanyia mitihani? hapa jambo la mhimu ni shule za kiislamu kupunguza mafunzo ya ahera, watoto waelimishwe na elimu dunia kwa ufasaha, mkiendelea na elimu ahera watoto wataishia kujifunza namna ya kulipua tu, na kusubiri kwenda kuwa wahandisi huko ahera
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Huwa nacheka sana linapokuja suala la Waislam na serikali Chadema wote wanarudi CCM teh teh te!!
Halafu mnaota ndoto eti mtaitoa madarakani CCM.
Na wewe nawe! Huyo kila kitu anakiona kwa mtazamo wa uislamu vs Ukatoliki basi!