Amma katika watu ambao hawana fikra kabisa mmoja ni wewe.
Nakuomba nioneshe moja jema aliloifanyia nchi hii Rais yeyote wa kabla ya Kikwete ambalo Kikwete hakulifanya mara tatu zaidi yake kwa uchache.
Jaribu bahati yako!
waambie wenzako waache ujinga kumkataa dau nssfAcha ujinga wewe Fox,hatuitaji dini hapo,tunahitaji elimu na ufanisi! kwan uislamu ndio unakuja kufanya kaz au ni mtu?
Charles ataifanya KIGANGO.
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
dr dau anawatesa sana kumbe na nyie kuna vitu vinawauma sana, sasa huyo dau kuna cku atawatia mimba kabisaNafikiri sasa hapa itakuwa ni furaha kwetu kwani ni HITMA kwa kwenda mbele.
Haina haja ya kusoma maana mchawi wetu ametoka.
Ngoja niandae kanzu na kipedo changu kwani sasa necta kuingia kama masjid vile.
Tulianza na costech, ujenzi, nssf na sasa tumekamata baba lao necta.
mtakoma mwaka huu !!
no kibalaghashia no credit in your exams!!
Kwa staili Ile ile ya westagate mall !
*jina la mama yake mtume mohamad ni..........
*mtume alikufa mwaka gani vile............
*alitoka macca kwenda madina lini........
*alipigana vita kwa muda gani ili kuueneza uislam.............
* binamu yake aliyekuwa mkristo alikuwa nani............. na je katika vita ya kueneza dini ya kiiislamu alibahatika kumuua ?.............
Au dada umezungumza hivi ulikuwa kwenye heat??????? Maana ya kuwa kwenye heat mfano ng'ombe jike akiwa kwenye heat ni vurugu kali za kutafuta madume yampande sasa dada yangu kwa statement yako madume yamekupanda fuatilia comments walizotoa dhidi ya statement yakoTunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Hivi ww darasa la ngapi? Kati ya waziri na ndalichako nani mwenye nguvu? Hata baraza liwe la waislam wote bado si solution. Je hii itasaidia huhamasisha waislam kusoma kwa juhudi? Si pingi ulichosema lkn kwa maoni yangu hii itakuwa hatari km performance ya wanafunzi wa kiislam itaendelea kuwa mbaya zaidi ina maana ukweli utajulikana
Ili tufanye mitihani ya Madrasa??
kwa mtindo huu hatuendelei manake kesho tutataka mtu wa kabila fulani naye ashike bila kuangalia uwezo wake!
waambie wenzako waache ujinga kumkataa dau nssf
Au dada amezungumza ulikuwa kwenye heat ndio maana umezungumza hivi??????? Maana ya kuwa kwenye heat mfano ng'ombe jike akiwa kwenye heat ni vurugu kali za kutafuta madume yampande sasa dada yangu kwa statement yako madume yamekupanda fuatilia comments walizotoa dhidi ya statement yako
Ponerasidhani kama upo sahihi kwa sana, kama hayo ndo yanasababisha kufeli iweje wafeli waislam tu?
Mkuu naona unabishana na mtu ambaye anabishana na marehemu na mtu kama huyo ni sawa na msukule huyo mama mbishi wa kijinga kweli kweli waislamu wana safari ndefu katika nchi.
we mdini mkubwa waambie waislamu wenzako wapeleke watoto wao shule na wajenge shule na vyuo poor islamic followers.
Ponera
1---Hakuna asiejua chanzo cha mgogoro wa kufeli kwa vijana wetu kwenye somo la Islamic Knowledge,na ufafanuzi ulishatolewa na kwangu mimi ufanunuzi uliotolewa una mashiko kwa sababu tatizo la kimfumo lililosababisha tukio lile liletolewa ufanunuzi na iliundwa kamati ya viongozi wa kiislamu kwenda kuangalia uhalisia wa mambo ulivyokuwa na naamini wao waliridhika ma majibu yaliyopatikana au yaliyotolewa.
2---Katika mchango wa awali nimemuomba FaizaFoxy na hata Ritz na pia nakuomba na wewe Ponera ujitahidi kufanya uchunguzi wako kwa kuwauliza walimu ambao wanakwenda kusahihisha mitihani wakueleze utaratibu wa usahihishaji uko vipi ili mjue kwamba ni vigumu sana kumhujumu mwanafunzi mmoja mmoja au wengi kwa kutumia kipengele cha shule anayotoka au jina lake,hii itawasidia kupata ukweli ili kupunguza hizi chuki baina yetu sisi wananchi
3---Katika michango yangu iliyopita nimejaribu kuongea kufeli kwa wanafunzi kwa ujumla bila kujali dini ya mtu au wewe Ponera unaridhika na matokeo ya vijana wetu?unafurahia vijana wetu kupewa madaraja ya ufaulu ambayo hawakustahili?unajenga taifa gani?makosa yaliyofanyika miaka iliyopita ndio yameleta madaktari wanaopasua kichwa badala ya mguu,mafisadi tulionao sasa hivi,wanasheria wasiojua kulinda maslahi yetu kwenye mikataba mablimbali nk
4---Sina uhakika hawa wasomi waliopewa madaraja wasiostahili watakuja kufanya nini au madhara watakayoleta wakati ujao siyajui,tuombe mungu atupe uhai.
Kitaturu
===>Nashukuru kwa kunisaidia,Ndalichako ni mtu mdogo sana ambae hata kama angeondoka jana asingeweza kubadilisha matokeo ya watoto wetu,yapo matatizo ya msingi sana kwenye elimu yetu ambayo tunayachekea kwa sababu ya kuchonganishwa na haya mambo ya udini.
===>Mfumo wetu wa elimu umeyumba sana hapa nchini,nataka nimuulize Dada FaizaFoxy kwa nini watoto wetu hawa wakiwa kwenye shule za msingi zile za academia wanasoma masomo yote kwa kiingereza isipokuwa somo la kiswahili lakini kwenye shule za maskini wanasoma kiswahili masomo yote isipokuwa kiingereza
===>Zamani kulikuwa kuna utaratibu wa kufunga na kufungua shule pamoja nchi nzima,hii ilikuwepo mpaka kwenye vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu,hii iliwezesha serikali kuweza kusimamia michezo kwenye ngazi shule ya msingi kwa maana ya (UMISHUMTA) na michezo ya shule za sekondari (UMISETA) ambayo kama sikosei ilikuwa ukifanyika katika kipindi cha mwezi waa sita ie wakati wa likizo maana shule zoote zilikuwa zimefunga kipindi hicho,sasa hivi hili haliwezekani,maana kuna shule za academia kipindi cha mwezi wa sita wao ndio wako darasani,wale kayumba ndio wamefunga,sintofahamu hii iko mpaka kwenye michezo ya michezo ya vyuo vikuu ambayo inaitwa SHIMIVUTA,mpaka muda huu UDSM wamefungua chuo sijajua taasisi nyingine,kichekesho kiko hapa wakati wao wako kwenye wiki za mitihani (test) ie labda wiki ya 8 na kuendelea,muda ambao watakuwa wamefunga ndio ilitakiwa waende kwenye michezo ya SHIMIVUTA,lakini haiwezekani maana vyuo vingine ndio navyo vinakuwa kwenye mitihani.
===>Kuna vijana katika nchi hii wamebadilishiwa mitaala ya Phsysic,Chemistry na Biology sijui waliita soma gani tu,hawa nao ni tatizo tayari,hembu fikiria watakapoomba kusoma kwenye vyuo vya nje ambavyo vianutambua mfumo wetu wa elimu unafikiri watatufikiriaje mara wanapoona vyeti vya hawa vijana?
Tusibishanie mambo ya ukristo na uislamu,ajenda ya udini inatufanya tusiwe na mshikamano wa kutatua matatizo yetu,tunagawanywa mpaka tunashindwa kumgundua mchawi wetu.