yatakayofanya nimkumbuke the great

Kiboko Yenu

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
311
65
yatakayofanya nimkumbuke kanumba the great ni
1. Alipoenda kumtembelea mzee kipara wakati mgonjwa na kumpa msaada wa laki 1 huku akiwa ameambatana na lundo la waandishi wa habari kama hali ameenda kutoa milioni kumi
2.kiingereza chake ndani ya big brother africa
3.alivyojichubua akifikilia weupe ndio uzuri,
4.alposema watu wanamuonea wivu sababu yeye maarufu
 
Lulu, kila nikisikia khabari na kuona picha,
atakua ananikumbusha wanawake ni hatari, their beauty can kill u mentally and physically!
 
this is nonsense mtu kafa mwache apumzike kama kuna kupumzika...kha!
 
kwel kilaza kilaza tu hata asome vp atakuwa wa mwisho kama huyu aliyeanzisha thread anaonekana alikuwa wa mwisho
 
hapo kwenye namba moja, wewe ulimtembelea mzee kipara? Uliwahi kumsaidia mzee kipara?

Ushasema kiingereza chake, wewe kinakuhusu nini?
Ulimfundisha kiingereza akashindwa?

Ngozi yake, ajichubue asijichubue inakudhuru nini?

Asingekuwz maarufu usingepost thread
 
Duniani-i-i kuna mambo-o-o-unapokuwa-a-a-a ukimya-a-a watu wanakufatafata na maneno.......Sijui hili song aliimba Cosmas Chidumule aka Kiatu cha Yesu!
 
hapo kwenye namba moja, wewe ulimtembelea mzee kipara? Uliwahi kumsaidia mzee kipara?

Ushasema kiingereza chake, wewe kinakuhusu nini?
Ulimfundisha kiingereza akashindwa?

Ngozi yake, ajichubue asijichubue inakudhuru nini?

Asingekuwz maarufu usingepost thread

Umemaliza kilakitu mkuu.
 
yatakayofanya nimkumbuke kanumba the great ni
1. Alipoenda kumtembelea mzee kipara wakati mgonjwa na kumpa msaada wa laki 1 huku akiwa ameambatana na lundo la waandishi wa habari kama hali ameenda kutoa milioni kumi
2.kiingereza chake ndani ya big brother africa
3.alivyojichubua akifikilia weupe ndio uzuri,
4.alposema watu wanamuonea wivu sababu yeye maarufu

kuna watu mna roho mbaya nadhani hata sura zenu mbaya vile vile.
Kanumba was great na alikubalika na alifanya mengi kadri ya uwezo wake kusaidia jamii.
Wewe hata ukifa leo sidhani hata kama kuna mwana jf atakayejua.
Mnawaonea wivu hadi marehemu.
 
Mmhhh hamna siku nimesoma thread za kipuuzi kama siku ya leo!!!!
 
hapo kwenye namba moja, wewe ulimtembelea mzee kipara? Uliwahi kumsaidia mzee kipara?

Ushasema kiingereza chake, wewe kinakuhusu nini?
Ulimfundisha kiingereza akashindwa?

Ngozi yake, ajichubue asijichubue inakudhuru nini?

Asingekuwz maarufu usingepost thread

zis ze finito
 
yatakayofanya nimkumbuke kanumba the great ni
1. Alipoenda kumtembelea mzee kipara wakati mgonjwa na kumpa msaada wa laki 1 huku akiwa ameambatana na lundo la waandishi wa habari kama hali ameenda kutoa milioni kumi
2.kiingereza chake ndani ya big brother africa
3.alivyojichubua akifikilia weupe ndio uzuri,
4.alposema watu wanamuonea wivu sababu yeye maarufu

Kweli wewe akili zako umezikalia! ........
 
Back
Top Bottom