Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,331
- 33,141
Vipi macho yako yapo mazima kama ni mazima nataka unisomee namba ya hapo kwenye kiduara chekundu
Tafuta miwani mapema.!
Sijui ni kwa nini umeuliza hii kitu ilhali namba hiyo inaonekana wazi kuwa ni 38Vipi macho yako yapo mazima kama ni mazima nataka unisomee namba ya hapo kwenye kiduara chekundu
View attachment 554792
Utakuwa muhenga macho yanaukungu.