YAPIME MACHO YAKO JE KWELI YANAFANYA KAZI?

38, kuna kipofu kasema 88

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
mkuu maana ya hili swali sijaifahamu,au kuna kitu nyuma ya pazia unamaanisha,mbona hiyo namba ipo wazi sana? na kama kweli unamaanisha basi wewe mtoa mada ndo huenda una tatizo la macho.
 
Kama jibu ni 38 basi macho yangu ni mazima japokuwa nikienda kwa wataalamu wa macho nakuwa sioni zile herufi za chini baada ya uole mstari mwekundu kwenda juu
 
Back
Top Bottom