Kazi gani?Wasukuma wana kazi aiseeee
Kuelimika [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kazi gani?
Inaonekana huyo demu hafai kuitwa demu ila ni poneo maana unamuepuka sana.
Hadi kaacha chuchu kwenye t-shirt [emoji23]
We jamaaa katili sanaaaaaNami yalinikuta nikaanza kuona dalili za kutoondoka mida ya saa kumi usiku nlichofanya nikamwambia kuwa mm ni kibarua tu na hapa gheto amenipangishia boss wangu na kila siku saa moja asubuhi anakuja kunikagua kuona kama nmelaza mwanamke ndani na ikitokea tu sina kazi na gheto natimuliwa, huwez amini alitoka asubuhi saaana nikawa nmepona
Mnajisifu wanaume wa mkoani tu kumbe wadada tu wanawapelekesha mpk mnaandika uzi huku je mwanaume itakuaje? Kha ha ha ha
Kwa hyo tshet zimevutwa na vichuchu??/zikaharibika,,vichuchu kweli au zile ngoma nyingine zisizo stahimili kusimama hata kwa brah.. Ngija niendelee kuwaza
Wanapenda mteremko balaaSi dada zenu wa Dar hao
Mkuu mkeo atapata tabu sana kwa huo ubinafsi sio wa nchii hii
Huku mkoani tutawauaWanapenda mteremko balaa
Niambie wifi yangu m-sweet mwenyeweWifiii
Niambie wifi yangu m-sweet mwenyewe
Hunaga tatizo na mtu
HehehehNilikuwa nakumindi sana na nilianzisha uzi Kama huu juu yako,ndo maana nkakuacha.
''acheni maudhi wanawake'' in mtoa uzi voice
[emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Ha ha ha haHeheheh
Tena kwa vile tu na sehemu zenu za siri mnazo wenyewe miilini.
Nazo zingekuwa zinavulika, bwana angu angekuta nimezivaa nadunda nazo mtaani.
Na hatuachi maudhi mpaka mjirekebishe
Aisee Mmeolewa sehemu moja nnNiambie wifi yangu m-sweet mwenyewe
Hunaga tatizo na mtu
[emoji11][emoji11][emoji11][emoji11]
[emoji813]️[emoji813]️[emoji813]️[emoji813]️
[emoji253][emoji253][emoji253][emoji253]
Yotr yako wifi yangu
Heheheh
Tena kwa vile tu na sehemu zenu za siri mnazo wenyewe miilini.
Nazo zingekuwa zinavulika, bwana angu angekuta nimezivaa nadunda nazo mtaani.
Na hatuachi maudhi mpaka mjirekebishe