Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Kama kawaidaMapenzi Mubashara
Kama kawaidaMapenzi Mubashara
Nini tena hii
Huku mkoani tutawaua
Eeeeeeeeh. Utatutoa rohooo aiseeee
Ahaahahhaah. Huku hakuna kuboost. Tunakula nyukliaWapeni taarifa huku mikoani hakuna mchuzi wa pweza lakini mambo ni Hot yani like Fire
Kama kawaida
Ahaahahhaah. Huku hakuna kuboost. Tunakula nyuklia
Na wakijua tunavyo watamani tutawashangaza!
Waache wajilete tuu
We jamaa boya sana yaani ndo unakuja kujitapa hapa kuwa una hela sana eeeh? Sasa hapo huyo demu kakosea nini mpaka kuja kumuanzishia uzi,we nae utakuja uoe uwe baba wa watoto,shwain kabisa!!Juzi kati nili Import Dem mmoja toka Dar akaja Mkoa walau Abadirishe mazingira. Tulikubaliana kama atakaa wiki moja na baadae arudi Dar. Dem alifika nikampokea.
Maisha ya kigeto yakawa yanaendelea nikiwa na mwanamke ndani. Maisha yameenda poa sana. Hasa ninaporudi toka vibaruani nakuta msosi, ndani kusafi, nguo zangu zimefuliwa na huduma za usiku napata yani hadi nikaanza kujiona FAZA.
Ishu imefika wiki sioni kama Manzi ana dalili za kuondoka. Kila nikimtrance naona kama ndo kafika. Nikaona sasa hiki ni kisanga. Nikajaribu kutunga safari za kikazi ili walau aseme anaondoka nikaona bado kimya anasema nikirudi ntamkuta. Nikatia figisu weeeeee hadi akaondoka.
Lakini amekaa Almost Mwezi mzima kwangu.
Sasa kipindi yupo hapa getto alikuwa anavaa nguo zangu kama Track suit, T-shirts na baadhi ya suruali zangu.
Yani ameharibu nguo zangu vibaya mnoooo. Nimeumia sana. Yani Tshirt zangu ziwezi kuzivaa tena maana zimetanuka kifuani kwa ajili ya matiti pia zina vile vinukta vya Chuchu.
Suruali zangu zimekuwa na Misambwanda balaaa. Yani zimekuwa kubwa matakoni na kiuno kimekuwa kikubwa balaaa.
Yani Jumla ya Nguo kama 20. Zenye thamani hadi kufikia laki 7 zimeharibika kabisa yani.
Mbaya zaidi wakati anataka kuondoka akasema et hajawai kupanda ndege. Ivyo anataka achukue flight to Dar.
Nikawa sina namna maana nataka aondoke tuu. Nikafanya booking ya siku 4 before nikapata ticket ya fast jet kwa 350k
Wakati namsindikiza akat wanafanya inspection kuna viti walikataa visippande ndege. Ni kama mafuta, perfum na vitu kibao. So ikabidi anipe nirudi navyo
Baada ya kufika home nikagundua kuwa ameacha vitu vyake vingine kama kanga nilizomnunulia maana alikuja na mtandio tu na nguo maa alikuja na pochi tu na huku nilimnunulia baadhi ya vitu.
Kasema mwisho wa mwezi atakuja kuchukua vitu vyake. Yani nimekasirika kinomaaaa
Wanawake acheni maudhi jamani.
Kuna masweta yangu nilinunua Ebay toka uturuki yote ameyaharibu kisa alikuwa anavaa apigie picha/ self ili awe anapost.
Yani nimeumia wajameni balaaa.
Boss katika huu uzi ni pesa kiasi gani zimekusumbua?We jamaa boya sana yaani ndo unakuja kujitapa hapa kuwa una hela sana eeeh? Sasa hapo huyo demu kakosea nini mpaka kuja kumuanzishia uzi,we nae utakuja uoe uwe baba wa watoto,shwain kabisa!!
Acha wivu wa kike wewe mbona aliyosema ni mambo ya kawaida sana..!Style yako ya kishamba sana,kama unadhani kuna mdada humu atakushobokea PM pole sana.
Waswahili wana shida sana bossAcha wivu wa kike wewe mbona aliyosema ni mambo ya kawaida sana..!
Juzi kati nili Import Dem mmoja toka Dar akaja Mkoa walau Abadirishe mazingira. Tulikubaliana kama atakaa wiki moja na baadae arudi Dar. Dem alifika nikampokea.
Maisha ya kigeto yakawa yanaendelea nikiwa na mwanamke ndani. Maisha yameenda poa sana. Hasa ninaporudi toka vibaruani nakuta msosi, ndani kusafi, nguo zangu zimefuliwa na huduma za usiku napata yani hadi nikaanza kujiona FAZA.
Ishu imefika wiki sioni kama Manzi ana dalili za kuondoka. Kila nikimtrance naona kama ndo kafika. Nikaona sasa hiki ni kisanga. Nikajaribu kutunga safari za kikazi ili walau aseme anaondoka nikaona bado kimya anasema nikirudi ntamkuta. Nikatia figisu weeeeee hadi akaondoka.
Lakini amekaa Almost Mwezi mzima kwangu.
Sasa kipindi yupo hapa getto alikuwa anavaa nguo zangu kama Track suit, T-shirts na baadhi ya suruali zangu.
Yani ameharibu nguo zangu vibaya mnoooo. Nimeumia sana. Yani Tshirt zangu ziwezi kuzivaa tena maana zimetanuka kifuani kwa ajili ya matiti pia zina vile vinukta vya Chuchu.
Suruali zangu zimekuwa na Misambwanda balaaa. Yani zimekuwa kubwa matakoni na kiuno kimekuwa kikubwa balaaa.
Yani Jumla ya Nguo kama 20. Zenye thamani hadi kufikia laki 7 zimeharibika kabisa yani.
Mbaya zaidi wakati anataka kuondoka akasema et hajawai kupanda ndege. Ivyo anataka achukue flight to Dar.
Nikawa sina namna maana nataka aondoke tuu. Nikafanya booking ya siku 4 before nikapata ticket ya fast jet kwa 350k
Wakati namsindikiza akat wanafanya inspection kuna viti walikataa visippande ndege. Ni kama mafuta, perfum na vitu kibao. So ikabidi anipe nirudi navyo
Baada ya kufika home nikagundua kuwa ameacha vitu vyake vingine kama kanga nilizomnunulia maana alikuja na mtandio tu na nguo maa alikuja na pochi tu na huku nilimnunulia baadhi ya vitu.
Kasema mwisho wa mwezi atakuja kuchukua vitu vyake. Yani nimekasirika kinomaaaa
Wanawake acheni maudhi jamani.
Kuna masweta yangu nilinunua Ebay toka uturuki yote ameyaharibu kisa alikuwa anavaa apigie picha/ self ili awe anapost.
Yani nimeumia wajameni balaaa.
Wifi yangu wa faida wewe[emoji7][emoji7][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11]
[emoji813]️[emoji813]️[emoji813]️[emoji813]️
[emoji253][emoji253][emoji253][emoji253]
Yotr yako wifi yangu
Yaani hunishindi mimi wifiWifi yangu wa faida wewe[emoji7][emoji7]
Miaka dahari[emoji7][emoji7]Yaani hunishindi mimi wifi
[emoji138][emoji3601][emoji138][emoji3601][emoji138][emoji3601]
Jamani hayo mahaba na mimi si mnipee??Yaani hunishindi mimi wifi
[emoji138][emoji3601][emoji138][emoji3601][emoji138][emoji3601]
Mapenzi kama yotee. Na sisi mtuonjesheMiaka dahari[emoji7][emoji7]