Yani hawa Ray na Kanumba ni vilaza kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yani hawa Ray na Kanumba ni vilaza kweli

Discussion in 'Celebrities Forum' started by mysteryman, Nov 1, 2011.

 1. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Eti kila mmoja kanunua gari la mil 200 yale yaliyowashinda wabunge, hawa jamaa zimo kweli? Hawajawa bado masuper star ndo hivo je wakiwa? Ulimbukeni bwana ni kitu kibaya sana, wao wanaona washamaliza kila kitu kumbe ndo kwanza safari ndo inaanza...vilaza sana hawa jamaa
   
 2. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Acha wivu....
   
 3. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,473
  Likes Received: 1,428
  Trophy Points: 280
  Mkuu hawajafanya kwa kuwa ni maarufu, mimi nadhani mfuko ukiruhusu unafanya chochote
   
 4. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  majungu..jinsia yako plz we ni me/ke?
   
 5. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ni kweli bt kaka ndo wachukue ya mil20
  kweli? Hivyo vifaa bado wanatumia bado ni vya third party....kwa hamna magari mazuri tu comfortable japo ya mil50?
   
 6. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Riwa sio wivu, unajua kiukweli watz hapa tulipofikia hakukua na haja ya mtu kutumia gari ya zaidi ya mil50 kiukweli kabisa...ni kuendelea kujitia umaskini bila kujua
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Kununua gari la gharama kupita maelezo ni tabia ya most of sisi Tanzanians.... Yaani sie ni watumiaji kuliko kutunza pesa... Ni sawa tu na simu, mtu unamshahara wa laki nane (Tsh. 800,000/=) na wala huna shughuli nyingine but simu ulonayo ni 1.2 M....
   
 8. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Karibuni tuzungumze maisha ya watu.com
   
 9. hirorobert

  hirorobert Member

  #9
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mimi sidhani kama hayo magari ni ya Mil 200,sema Shingongo ndo kakoleza front page yake ili masaburi wanunue...magari yanayoagizwa TOYOTA through agent ndo yanaweza fika hizo bei Mil 200 na ni ya km <200 kwahiyo yy ameyathaminisha yakiwa mapya na sio mapya kama una bahati ya kuyaona yana km>100,000 ambayo market price yake haizidi Mil 80,mpaka litue hapa
  Kama unataka kuamini nenda pale autorec,Japan vehicles utayakuta
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,254
  Trophy Points: 280
  wamenunua magari gani? Toyota Stout au Datsun? Au wamefunika kabisa kwa kununua Bedford na Leyland Daf?
  Mi nashauri wangenunua Isuzu Injection
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Thats just to fulfil their taste!...In Economics, when someone has ability to buy something, then Fashion comes into operation immediately!
  Watatembelea magari hayo kwa muda, then wakiona yamepitwa, watauza na kununua mengine!
  So usione hatari sana, kwaani hata muuzaji anapenda ayauze ili aendelee na biashara ya kuleta mengine...Be fair to both ways broda!
   
 12. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hahaha mkuu eti wamechukua lexus v8
   
 13. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  na Wewe si ununue lakwako.
   
 14. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  Mi najua ni masifa ya kununua, hapo wamelipa fedha ili shigongo awafagilie, hamna lolote.
   
 15. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kama ni kweli hongera zao, hatuwezi kujadili maamuzi ya mtu wakati ela ametafuta mwenyewe hivyo akiweza kulitunza au asiweze hayo yote ni yake binafsi.
   
 16. J

  Jonathan Kiula JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  let the deads burry their own dead
   
 17. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  usuper star wa mtu uko kichwani mwake,kama wameshanunua jua wanaweza na wamefikia kiwango hicho.

  naombeni tujadili mambo ya msingi.
   
 18. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kama pesa ipo kwanini asitumie yake mwenye anajua vp kaipata kama kwa raha au kwashida...
   
 19. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #19
  Nov 1, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  Roho ya kwa nini,wangenunua PORSCHE na FERARI je?da wivu mbaya
   
 20. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #20
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Mbongo utamgundua tu kwa vile wewe huna basi unaona wao vilaza.
  Acha wivu wa kike huo
   
Loading...