Yangu ya moyoni

Nimefall vibaya mno kwa jamaa yan sisomeki kabisa
 
Hii ni kwa ajili ya kuchangamsha jukwaa, sio kweli kwa hivyo
 
Wewe mrembo upo muwazi sana, wachache wanaweza fanya hivi
 

PM ngumu kuaminika........

vipi wewe umeshawahi kufanikisha mission huko pm?
 
utafiti nyota imewaka,,,,,, njoo basi umjibu huyu mrembo jamani!!!!!
 
Last edited by a moderator:

kama bwana utafiti kaoa unasema uko radhi kuwa nyumba ndogo yake,sasa uko tayari kuharibu ndoa ya mwanamke mwenzako?au kama ndo ingekuwa wewe mwenye mume inakuwaje hapo?kama bwana utafiti hajaoa then go ahead
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…