Hii ni kwa ajili ya kuchangamsha jukwaa, sio kweli kwa hivyoHua najaribu kujiuliza kizembe
Hivi mtu unampenda mtu inakuwaje unakuja hapa hadharani?
PM hazipo?
Au ni uongo tu?
Mwishowe naona kama wote waliokuja hapa na kujidai eti wanawazimikia watu ni waongo tu
CC: Shenazi na wengineo .......!!!!!!!!!!!!!!!!!
Wewe mrembo upo muwazi sana, wachache wanaweza fanya hiviKwako bwana utafiti,salam.,.. Lengo langu ni kukueleza yaliyo moyoni mwangu,nakupenda sana hadi najishangaa,nipo serious kabisa,nakupenda si utani ndo maana nimeamua kufunguka hadharani!I am Tanzanian lady,kama umeoa nipo tayari kua nyumba ndogo au spea tairi.
And JF is addictive you know^^
Pengine analinda penzi Mkuu, Haya mambo ya kutazama tu, JF is more than hidden forums
^^
Hua najaribu kujiuliza kizembe
Hivi mtu unampenda mtu inakuwaje unakuja hapa hadharani?
PM hazipo?
Au ni uongo tu?
Mwishowe naona kama wote waliokuja hapa na kujidai eti wanawazimikia watu ni waongo tu
CC: Shenazi na wengineo .......!!!!!!!!!!!!!!!!!
^^
Pengine analinda penzi Mkuu, Haya mambo ya kutazama tu, JF is more than hidden forums
^^
Kivipi?PM ngumu kuaminika........
Sijawahi kuwaza hilo achiliambali kutenda!!vipi wewe umeshawahi kufanikisha mission huko pm?
Hii ni kwa ajili ya kuchangamsha jukwaa, sio kweli kwa hivyo
Nakiri kutokukuelewa kabisa mkuu!!!!!!
Kabisa mkuu, niaminiKumbe .....!!!!!!!!!
Kivipi?
Sijawahi kuwaza hilo achiliambali kutenda!!
Kwako bwana utafiti,salam.,.. Lengo langu ni kukueleza yaliyo moyoni mwangu,nakupenda sana hadi najishangaa,nipo serious kabisa,nakupenda si utani ndo maana nimeamua kufunguka hadharani!I am Tanzanian lady,kama umeoa nipo tayari kua nyumba ndogo au spea tairi.