Yangu ya moyoni

Yangu ya moyoni

Huu ni uji.nga mkuu

Kama unampenda mtu hilo ni suala binafsi

Ndio maana wakaweka kitufe cha ujumbe binafsi [Private Massage]

Na imewekwa sheria mambo ya huko ni marufuku kuletwa hapa

Sasa inakuwaje mtu alete masuala binafsi hapa?

Si kutuzuga tu huko?

mbona umekuwa mbogo, ulimzimikia ila ukawa domo zege halafu mwenziyo kajilambia kilaiiiniiiiiiiiiiiiii! aisee kukucd kama kuna mwingine kabakia basi? mi huwa sishangai kama vipi piga chini huyo utafiti mie tumalizane??????
 
Wewe Blueband maneno gani haya?
 
Last edited by a moderator:
Baba Paroko, hueleweki, umemkatalia au umekubali, upo neutral

mambo mazuri hayataki haraka
afu kama unavojua huyu ni baba paroko lazma nimtembelee na speed ya 20
nikipiga 180 ataishia kunikemea
 
mambo mazuri hayataki haraka
afu kama unavojua huyu ni baba paroko lazma nimtembelee na speed ya 20
nikipiga 180 ataishia kunikemea

Walikuwa mapartoko wa zamani, hawa wetu wa digitali usihofu, Kwa kuwa amekaa kimya tunaassume amaekubali! Si unakumbuka ile thread yake ya kununiwa na kufanyiwa visa na mdada aliyejitongozesha kwake!

Kama angekuwa hakutaki angeanzisha thread
 
Hua najaribu kujiuliza kizembe

Hivi mtu unampenda mtu inakuwaje unakuja hapa hadharani?

PM hazipo?

Au ni uongo tu?

Mwishowe naona kama wote waliokuja hapa na kujidai eti wanawazimikia watu ni waongo tu

CC: Shenazi na wengineo .......!!!!!!!!!!!!!!!!!

Heheheeee........... Baba Paroko, samahani lakini... Hivi, mlifika wapi wewe na Shenazi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom