sasa mbona unataka wengine wafanye hivyo?
haaahaagaa jitetee kwa faza paroko mi ngoja nikakurafutie wa kukusimamia kule jukaa la siasa teh teh
Unajua umeniuliza nini?
Na hata kama sifanyi hivyo kwani nimesema ni vibaya?
Mi si nakujua bana mwambie aweke kabla hujatoa maamuzi magumu hapa
basi waache watu wafanye namna wanavyona wao inafaa kwa upande wao...............
Natumain umenielewa utafit
Weka picha basi tukuone wifi yetu,,ili umdatishe kaka angu utafiti maneno matupu hayalambwi yakheeee!!!!!!!!!

nashukuru kwa kunielewa mpenz nimefungua moyo wangu kwako!nimezama kabisaUsijali dear nimekuelewa sana, point yako inaukweli ndani yake...
nashukuru kwa kunielewa mpenz nimefungua moyo wangu kwako!nimezama kabisa
Sijui bado nimelala?ni ndoto au? Hii kweli ni bahati....
daah mtihani mzito huo ntawekaje sasa picha wajamen?nisaidie basi kuongea na utafiti anielewe
Bahati hiyo wallah changamka tumia fursa