Yangu ya moyoni

Yangu ya moyoni

kukucd ni shemeji yako nampenda sana

dah kamanda umepata kitu moto enh! unajua ukipata mwandani ambaye havungi yaani aneleza hisia zake kwa uwazi mie huwa nakwisha kabisa. hongera bwana kwa kumnasa huyu. Halafu hebu muulize mkiwa wawili ili kama kuna wa aina yake amebaki anipigie pande hilo!
 
Kwako bwana utafitisalam.

Lengo langu ni kukueleza yaliyo moyoni mwangu,nakupenda sana hadi najishangaa,nipo serious kabisa,nakupenda si utani ndo maana nimeamua kufunguka hadharani!I am Tanzanian lady,kama umeoa nipo tayari kua nyumba ndogo au spea tairi.
hongera kwa kusema ukweli
 
Ata mimi nashukuru kwa kukupata wewe

Twawatakia mahusiano memaa
Ila wifi kua muangalifu humu,kuna ma@bazazi usipoangalia yatakufumua fumu ohooo utafiti harembi utajutaje!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hua najaribu kujiuliza kizembe

Hivi mtu unampenda mtu inakuwaje unakuja hapa hadharani?

PM hazipo?

Au ni uongo tu?

Mwishowe naona kama wote waliokuja hapa na kujidai eti wanawazimikia watu ni waongo tu

CC: Shenazi na wengineo .......!!!!!!!!!!!!!!!!!
Bora wafunguke tujue
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom