Naomba mods waondoe kitufe cha PM maana hakina umuhimu sasaHua najaribu kujiuliza kizembe
Hivi mtu unampenda mtu inakuwaje unakuja hapa hadharani?
PM hazipo?
Au ni uongo tu?
Mwishowe naona kama wote waliokuja hapa na kujidai eti wanawazimikia watu ni waongo tu
CC: Shenazi na wengineo .......!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mkuu, mbona we mkorofi ivo, mwenzio sina hata la kuchangia....