SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,765
Hawana marinda,bisha tukawapimeMawazo yako ndiyo wewe , bisha .
Hawana marinda,bisha tukawapimeMawazo yako ndiyo wewe , bisha .
Mipango duniKumbuka na kilele cha wananchi kipo mwisho wa wiki hii yaani Jumapili, Je utasafiri lini na kufika Dar es Salaam na pia uzinduzi wa jezi za wananchi lazima ufanyike Dar es Salaam kwa wachezaji wote
Kubali au kataa, Ratiba kwa timu ya wananchi ipo very tight, ukisema uendelee kukaa Morroco kuna mambo yaliyopo kwenye ratiba utaharibu
Tafadhali msiendeleee kubeba laana ya UMBUMBUMBU kwenye vichwa na maisha yenu
Mkuu mambo yote hayo (kilele cha mwananchi na jezi) ni ya kibiashaa, lakini pre-season ni jambo la kiufundi. Yanga imechagua biashara mbele ya ufundiKumbuka na kilele cha wananchi kipo mwisho wa wiki hii yaani Jumapili, Je utasafiri lini na kufika Dar es Salaam na pia uzinduzi wa jezi za wananchi lazima ufanyike Dar es Salaam kwa wachezaji wote....
Nusu ya timu Ina Corona ,wengine wanaenda kucheza timu ya taifa na wengine kurudi ,waliowekwa karantini ni wengi ,ukitoa Tena wanaoenda kucheza timu za timu inakuwa heri wale wachache wanaobaki warudi tu mapema.Mipango duni
Ratiba ya mechi za kimataifa inajulikana
Yanga day ratiba ilishapangwa
Karantini ya Corona ni siku ngapi mkuu?Nusu ya timu Ina Corona ,wengine wanaenda kucheza timu ya taifa na wengine kurudi ,waliowekwa karantini ni wengi ,ukitoa Tena wanaoenda kucheza timu za timu inakuwa heri wale wachache wanaobaki warudi tu mapema.
Yanga sijui wanaficha nini kwani Corona ni aibu?
Kumbe.Nusu ya timu Ina Corona ,wengine wanaenda kucheza timu ya taifa na wengine kurudi ,waliowekwa karantini ni wengi ,ukitoa Tena wanaoenda kucheza timu za timu inakuwa heri wale wachache wanaobaki warudi tu mapema.
Yanga sijui wanaficha nini kwani Corona ni aibu?
SawaKuigaiga ni kubaya sana na sasa nadhani mtakuwa mmekoma kwani mmejiabisha mno tu. Mkome!!
Eti Corona yaani Morocco nzima Corona iwatisheni nyie tu na Timu zingine isiwatishe huko?...
Kwa hiyo hawa jamaa wamechora Kuta na makimba duh na hivi hawana hela ukute walibeba na viroba vya maharage na mahindi I'll kande lazima mzigo uwe km lamiHata Mimi hilo nimelidhibitisha pasi nashaka kutoka kwenhe vyanzo vyangu makini kabsa na walienda mbali wakachora choro kuta za vyoo
Acha utani bana, ni kweli haya matokeo?Kingine kilichowakimbiza pia ni hiki
Kuigaiga ni kubaya sana na sasa nadhani mtakuwa mmekoma kwani mmejiabisha mno tu. Mkome!!
Eti Corona yaani Morocco nzima Corona iwatisheni nyie tu na Timu zingine isiwatishe huko?
Hela ya Kisinda ilikuwa ya Kuwapeleka Watu 3 tu Kutalii Morocco nyie mmeenda Watu 47.
Wachezaji kutwa ni Kunya Kunya tu hovyo Maliwato za Morocco kwanini msichokwe huko?
Hao mnaowaiga na hamuwawezi kumbukeni wapo katika top 10 Klabu Bora Afrika sawa?
Siku zingine mkitaka Kuongopa nitafuteni niwafundishe Kuongopa na msishtukiwe sana.
Na wanaosifika kwa Kuchafua mno Maliwato za Morocco ni Mayele, Aucho, Kaseke na Fei Toto.
We unafikiri ni nini kimewaondoa haraka hivyo huko Morocco?Acha utani bana, ni kweli haya matokeo?