Yanga yasitisha pre-season yao huko Morocco kurejea nchini kwa mafungu

Hili swala lilikua calculated tangu mwanzo kwenye ratiba zenu kwamba mlijua situation hii tangu mda au by coincidence tu?
Hii issue ipo by coincidence tu Mkuu, coz unaweza ukapanga kitu ila kuna factor zikatokea mbele na issue yako ikawa disorganized
 
Mbumbumbu wengi hawana reasoning

1.Kilele cha wiki ya mwananchi ni tar.29/8/2021 na leo ni ni tar. 23,kwa hesabu hapo zimebaki siku sita mpaka siku hiyo kufika na timu ipo Morroco na safari yake inachukua siku mbili mpaka kufika Dar es Salaam, kwahyo hapo zinabaki siku nne pia kuna uchovu wa safari na kuendelea na mazoezi kwa ajili ya mtanange wa wiki hiyo ya mwananchi
Tupo mule mule tu.

Wachezaji wanatakiwa timu ya Taifa
1.Kabwili
2.Feisal
3.Mauya
4.Job
5.Mwamnyeto
6.Yacouba
7.Mokoko Tonombe
8.Djagui Diarra

Kimsingi hapo kwa tuliosomea coaching hasa ukiwa kambi ya maandalizi ya msimu bila kuwa key players wako, hapo huwa tunahesabu hakuna maana ya kuwa na kambi hiyo, automatically kuna mbinu ulikuwa uzitoe lakini utashindwa kutokana na kukosekana kwa baadhi ya wachezaji wako muhimu

Na isitoshe wiki ya mwananchi ipo ukingoni sina shaka kumuelewa Coach Nabi na Eng. Hersi said
Wachezaji wamechoka kulawitiwa wamegomea kambi
 
Hizo hoja ungejibu ata moja ningechoma vyeti vyangu vyote vitano.
Unaweza ukawa na vyeti 100 na usiwe unaelewa namna ya kupangilia, kuandika na kuongeza facts katika nyanja tofauti
Ndo nimekuambia kaa pembeni na uendelee na opinions zako coz small mind hawezi kuielewa big mind
 
Timu kusafiri kwenye makundi inategemea na nafasi katika ndege Yanga na Simba wanategemea ndege za abiria wa kawaida. Ndege za abiria maranyingi zinakuwa na nafasi chache kwakua abiria walisha book zamani timu zikiomba nafasi zitapewa nafasi zilizo Baki
Hilo mbona hakuna ambaye amelaumu kwenda au kurudi kwa makundi.

Je sababu ya kusitisha kambi na kurudi ni kweli Hali ya hewa, na baadhi ya wachezaji kuitwa timu ya Taifa, pamoja na maandalizi ya Yanga Day?

..Au Kifurushi kimeisha hapo ndipo, acha kuhamisha kesi.
 
we jamaa kweli ni nyani hii kauli nimeona umemulza mdau mmoja tena umeambatanisha na picha ukimulza kuwa team inarud leo hiyo tareh 27 yy kaitoa wap? Sasa na ww tujibu umeitoa wap hiyo tarehe 27?

Hata hakumbuki tena
 
Sawa mbumbumbu mkubwa kaa kwa kutulia

Dalili za kuishiwa hoja hizi! Matokeo yake unaonekana kituko,wenzio wenye akili wanaojitambua wameona upuuzi wa Viongozi wa Yanga ndiyo maana unaona wamekaa kimya na umebaki peke yako.Usijione wewe mjanja kujibu kila hoja kwa maneno ya hovyo hovyo!
 
... Kilele cha wiki ya mwananchi ni tar.29/8/2021 na leo ni ni tar. 23,kwa hesabu hapo zimebaki siku sita mpaka siku hiyo kufika na timu ipo Morroco na safari yake inachukua siku mbili mpaka kufika Dar es Salaam,
Kwani kati ya Wiki ya Mwananchi na maandalizi ya pre-season, kipi kinatakiwa kupewa kipaumbele? Hata nyani ana unafuu, sijui tuwaitaje kuweka kambi ya siku tatu
 
Hizo hoja ungejibu ata moja ningechoma vyeti vyangu vyote vitano.

Hana majibu,na sijui kwanini hajistukii,wenzie wenye kutumia akili zao kufikiria huu uzi wanapita kimya kimya,kabaki yeye kushupaza mishipa ya shingo kwa maneno ya hovyo hovyo
 
Kwani kati ya Wiki ya Mwananchi na maandalizi ya pre-season, kipi kinatakiwa kupewa kipaumbele? Hata nyani ana unafuu, sijui tuwaitaje kuweka kambi ya siku tatu
Wachezaji wa simba na Yanga wakutana uwanja wa ndege katika maandalizi ya kurudi nchini
20210823143233.jpg
 
Wachezaji wa simba na Yanga wakutana uwanja wa ndege katika maandalizi ya kurudi nchiniView attachment 1904723

Hawa ni Wachezaji wa Simba walioitwa kwa Team zao za Taifa.Kambi ya Simba bado ipo na haijavunjwa,hakuna sababu za kitoto za “hali ya joto kali”.Sasa turudi kwa hoja iliyoko mezani,ni kipi hasa kimepelekea Yanga kuvunja kambi Morroco ndani ya siku 4 tu za kuwepo Kambini?
 
1) Eti sababu wachezaji kama nane wataitwa kwenye nchi zao kwa michezo ya kimataifa hivyo timu itameguka

2) Eti sababu kule kambi iliko joto Sana.

3) Eti tuna mechi wiki ya mwananchi na wale wanigeria pia.

My take:::
Waseme tu pesa imekata.
kwani walipoenda au kupanga kwenda huko hayo mambo hawakuya consider?!
Jiisiiem mbona mnawatapeli uto jamani. Wameshaanza kushindwa kabla ya kushindana!
Hayakuhusu
 
Watakua walikua wamebeba mzigo wa mwarabu, mapunda yamefikisha mzigo yanarudi. Utopolo Bana....
 
Hawa ni Wachezaji wa Simba walioitwa kwa Team zao za Taifa.Kambi ya Simba bado ipo na haijavunjwa,hakuna sababu za kitoto za “hali ya joto kali”.Sasa turudi kwa hoja iliyoko mezani,ni kipi hasa kimepelekea Yanga kuvunja kambi Morroco ndani ya siku 4 tu za kuwepo Kambini?
1.Poor infrastructure
2.Lack of capital
3.Poor TFF support
4.Language barrier
5.Shortage of food
6.Poor climatic conditions
 
1.Poor infrastructure
2.Lack of capital
3.Poor TFF support
4.Language barrier
5.Shortage of food
6.Poor climatic conditions

Afadhari sasa walau unaanza kuelewa ugumu wa kutetea hoja unayoulizwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom