Townchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 15,403
- 17,194
Weka
Weka orodha yako inayosema halisi🤔
Weka orodha yako inayosema halisi🤔
Alaa kumbe kitonga ndiobkimeWafikisha hapo basi ni jambo la kheri napenda kupata details ili hata nikiwa kijiweni wakibishana nielewe nn kinaendeleaHuoni walivyovurunda vurunda hata kwenye,haya ya sasa,ilhali wenzao tumesererekea Kitonga🤸
huu ni umbea wivu au?
Kitonga ya kuwaponda vibonde,akina Mazembe🤔Alaa kumbe kitonga ndiobkimeWafikisha hapo basi ni jambo la kheri napenda kupata details ili hata nikiwa kijiweni wakibishana nielewe nn kinaendelea
hata mie nimeshangaa,huu ni uhuni. Yanga kampiga Mazembe nje ndani, bado mazembe kipgwa ovyo lakini bado mazembe yupo 13 yanga 31
mabwakuuuuuuuCAF's TOP Ranked Clubs in Africa after the group stage of the 2022/23 CAF interclub competitions:
Based on the 5-year RANKING!
1. Al Ahly
2. Wydad Casablanca
3. Raja Casablanca
4. Espérance
5. Mamelodi Sundowns
6. Zamalek
7. RS Berkane
8. CR Belouizdad
9. Young Africans SC
10. Pyramids
11. Petro de Luanda
12. JS Kabylie
13. TP Mazembe
14. Horoya
15. Orlando Pirates
16. Al-Hilal
17. Etoile Sahel
18. ES Sétif
19. Coton Sport
20. ASEC Mimosas
21. Kaizer Chiefs
22. AS Vita
23. CS Sfaxien
24. USM Alger
25. Al-Merrikh
26. Ahli Tripoli
27. Al-Masry
28. AS FAR
28. Rivers United
28. Gallants
28. Simba SC
28. Monastir
33. Enyimba
34. MC Alger
35. Al-Ittihad
35. AmaZulu
37. Hassania Agadir
38. JS Saoura
39. Zanaco
40. ASC Jaraaf
41. Diables Noirs
41. Eloi Lupopo
41. Future
41. AS Real
41. Vipers
46. Nkana
47. DCMP
48. AS Otoho
49. Jwaneng Galaxy
49. Sagrada Esperança
51. 1° de Agosto
59. Zesco
65. Gor Mahia
68. Namungo
75. Asante Kotoko
75. Ismaily
iweke wee hiyo utopoloo nafasi ya 3 CAF Ranking. Mmevurugwaa vibayaaa.Yanga ataikiwa ndani ya Tano au tatu Bora Kwa vilabu barani Afrika Haina maana yoyote pasipo ubingwa.
Ubingwa katika mpira wa miguu ndio unao Tafsiri mafanikio izo namba au rank zinabadilika Kila mwaka.
Mfano Simba katika ligi ya NBC wanajivunia kushika nafasi ya pili ila ki uhalisia bila Mataji ni upuuzi tu.
Toka mafanikio ya Yanga yaonekana mashabiki WA Simba ndio wanaoongoza kupost wakilinganisha hayo mafanikio Na timu yao.Kitu Cha ajabu hawaweki source ya hizo Takwimu ZAo😂Ukiachana na ushabiki ukweli utaukubali kirahisi tu kuwa YANGA mwaka huu imefanya vizuri kimataifa na imepanda kwenye rank.
Ukishaanza kuilinganisha na Simba tayari unaweka ushabiki na utaukataa uhalisia sio sababu si kweli bali sababu hutaki kuukubali sababu ya ushabiki.
Imeongoza Kundi D katika mechi za CAF
Azam fc ni kikundi cha wahuni na scammersNaiona Namungo fc afu azam fc haipo hapo inakuwaje?
Hata Monastir alifungwa 2 bila kwaoView attachment 2575949View attachment 2575948
Siyo kuongoza kundi lao tu, bali wanaongoza michuano ya Confederetions na ndiyo pekee hawajapoteza hata mechi moja.
Okay...kwa hivyo ile Table haipo sawa
Wewe huna akili za kujitegemea? Nyinyi ndugu zenu akili zenu nani anawashikia?Okay...kwa hivyo ile Table haipo sawa
MO na Barbara...Wewe huna akili za kujitegemea? Nyinyi ndugu zenu akili zenu nani anawashikia?