Yanga yamuuza Feisal kwa Azam FC

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,206
12,736
Kutoka Yanga official page
Amekwenda Azam Sc.

-----
Uongozi wa klabu ya Yanga umethibitisha umefikia uamuzi wa kumuuza mchezaji Feisal Salum maarufu Feitoto kwa klabu ya Azam FC.

Feitoto ameuzwa kwenda Azam FC kwa dau ambalo halijawekwa wazi na ataungana na timu yake mpya baada ya dirisha la usajili kufunguliwa rasmi.

.
1686215252436.jpg
 
Dogo kaondoka buree huyu acheni mbambamba.

Yanga wamepita mule mule kwenye mkeka nilioleta juzi. Hapo sikuweka zile tiketi zilizokuwa zinanunuliwa kwa hiyo Yanga bado mna deni, chungeni mnaweza mpoteza na Mayele muda wowote.

Gharama za Algeria na kurudi = 200,000,000
+
Ndege hadi Mbeya 30,000,000
+
Ubwabwa wa Ikulu = 20,000,000
+
Goli la Fainali kwa Mkapa = 20,000,000

Jumla = 270,000,000

Gharama za kumuachia Feisal Salum = 270,000,000
 
Klabu ya kandanda nchini Tanzania yanga sc imethibitisha rasmi kuuzwa kwa kiungo wake fundi Feisal salum(fei toto) kwenda kwa klabu ya azam fc iliyopo chamazi nini maoni yako mdau kwenye usajili huu je tutaiona Azam ikitwaa ubingwa!?
 

Attachments

  • 1686216023260.jpg
    1686216023260.jpg
    78.3 KB · Views: 4
Kauli ya Mheshimiwa Raisi ya kinyenyekevu kama ombi ni kama sheria,

Kwa wenye kuona mbali.... Walilitarajia hili kutokea...

Usipoitekeleza kauli yake ni kumdharau Raisi...

Hiki ndio cheo cha juu kushinda vyote nchini...

Mkubwa haombi.. Ni sheria. Unapaswa utekeleze.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom