mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 543
- 1,837
Kuelekea mchezo wa dabi ya mzizima baina ya Azam fc na timu dume kabisa ya Yanga sc, kumetoka taarifa ya kuwa mchezo huo ambao hapo awali ulipangwa kufanyika katika dimba la azam complex chamazi, sasa utapigwa katika dimba la estadio de Benjamin mkapa, lupaso moja.
Mabadiliko haya yamechagizwa na hofu kuu iliyotanda miongoni mwa wachezaji, benchi la ufundi na viongozi wa azam fc ambao wamenukuliwa wakisema kuwa "azam complex ni machinjio ya Yanga sc kwa sasa" na endapo watathubutu kukubali mchezo huo ufanyikie hapo basi wataenda kukutana na aibu ya karne kwani kuna hatihati wakabandikwa chuma 7 bila majibu. hivyo wameona ni heri waende Lupaso ambako wanaamini dozi yao inaweza kupunguzwa walau mnara ukasoma 4G!
Je wanarambaramba wakiongozwa na mido kisheti foseli mzee wa ugali sukari wataepukana na dozi endelevu ya wananchi? Soon tutapata majibu