Yanga vs Simba April 18 2010

Shy,
Wachezaji wa Yanga kutokana na historia ya hii miaka 8 kutomfunga Simba inawafanya wacheze kwa stress na pressure ya ushindi. Hivyo kila mmoja anaogopa kufanya makosa ambayo yasije leta kizaaa but sifikiri Simba ni wazuri kiasi hicho kama defence ni nzuri saana imeruhusu vipi magoli yote hayo?
 
Ni kona sasa imapigwa upande wa simba dakika ya 47 simba 0 yanga 1 , mshambuliaji wa yanga ambani ametolewa nje
 
Nawatakia kila la kheri Dar Young Africans, ushindi uwe upande wao.
 
ameumia ni mchezaji hatari sana wa yanga huyu , ni mwenyeji wa kenya na ndio anayeonoza kwa ufungaji katika ligi kuu ya vodacom mpaka sasa hivi

yanga-afrika-300x200.jpg


HAO NI YANGA

sports2.jpg


HAWA NI SIMBA
 
Simba waamtoa Emmanuel Gabriel na kumuingia Ulimboka Mwakyumbe (spelling za jina si sahihi)
 
Back
Top Bottom