Wacheza wa simba wameenda kwenye goli la yanga na kumpa kitu kama hirizi mwandishi wa habari..wachezaji wa yanga wakaanza kumtimua..mpira ulisimama kwa muda...polisi walipo ingilia...
Mpaka sasa bado bao ni moja simba kashaingiliwa....na yanga.
Mpira umekwisha na ni Yanga 1 Simba 0, mwenzetu Masatu hakuwa na mawasiliano uwanjani tumuwie radhi wakati huu mgumu kwa Mnyama, sasa hivi kuna kikao kinataarishwa kwa Kapuya kujadili mfululizo wa vipigo kwa Mnyama.
ummh na wewe? matokeo sahihi ni Chelsea 0 na Liverpool 1, Liva wanaongeza ligi sasa, ila sisi tutawakuta na kuwapita wote na kuchukua ubingwa wetu kama kawa
Yanga bwana!!! Ama kweli pashoka hapaingii kisu!!
Kazi huko Msimboazi wallah kama mi Dalali leo naenda kulala Yautooo Guest maana wanaweza mchomea ndani wallah!!