Mzee wa pembe tatu aka Mzee wa Rula kaingia mitini
Chaliiii yangu usiogope kabisa, 90min bado hazijaisha utafurahiiiiiiii.
Jomba arif wajua moro mambo magumu?
Jamani tupeni matokeo mlioko uwanjani coz ss wa mikoani wanaoendeleza njaa wametubania
Simon Msuva katukosesha goli
Simon Msuva katukosesha goli
Dk ya ngapi?
huyu dogo sijui anafanya nini. anacheza mchezo wa sifa yaani anakimbiza hadi nje ya uwanja. yaani hana faida coz hatoi pasi wala hafungi goli. yeye ni chenga na kukimbiza mwisho wa siku mpira anaupiga nje. inabidi apewe ushauri. hajawahi kupiga akalenga goli angarau hata kipa adake. mia