Yanga vs Mgambo JKT, kutoka Uwanja wa Taifa

Yanga vs Mgambo JKT, kutoka Uwanja wa Taifa

yanga inaongoza usukani wa ligi kuu tanzania kwa uwiano wa magoli. yanga amefunga magoli 21 na simba amefunga magoli 20. yanga amebakiza mechi za coastal union na azam wakati simba imebakiza michezo ya moro united na toto africa. kocha wa zamani wa azam kashaanza kazi. mia

Mkuu mia Moro utd. hawapo ligi kuu
 
Mpira umekwisha.
mwamzi alikua MARTIN SANYA WA MOROGORO.
YANGA 3 - 0 MGAMBO JKT. mia
 
Mpira umemalizika Yanga 3 mgambo 0 mia.
 
Nilikuwa napost updates chini ya uzamini wa Kiroba wakishirikiana na mama kavishe grosari.
 
Msimamo ukoje baada ya mechi za leo?
 
Asanteni sana mzee wa 100,TQO,Fofader,Watu8 na wengineo mliokuwa mnatuwezesha.Leo mjini kutatulia.
 
Back
Top Bottom