Yanga vs Mgambo JKT, kutoka Uwanja wa Taifa

Yanga vs Mgambo JKT, kutoka Uwanja wa Taifa

Mkuu Crashwise upo jamhuri? Okwi vp tena leo?
 
Last edited by a moderator:
Moro ni half time Simba bado yupo nyuma goli 1
 
Ile forward kali iliyoitungua Azam goli 3 vp tena? Mkuu Masuke?
 
Mabeki Canavaro na Twite kila mmoja amefunga magoli 3
 
Matokeo yakibaki hvhv kule Morogoro itakuwa bomba sn
 
didie kavumbagu kafunga goli lingine dakika ya 39.
yanga 2 - 0 mgambo jkt. mia
 
Subiri dk 90. Tutawa'asenal' tu hawa Polisi/kutangulia si kufika

Kumbukumbu zangu zinaonyesha toka ligi ianze hamjashinda hata mechi moja nje ya Dar.
 
Back
Top Bottom