figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,626
- 62,475
Mfungaji nani????
canavaro. mia
Mfungaji nani????
Kweli .. hizi mechi za ugenini ni ngumu
Subiri dakika 90 zikamilike na kama matokeo yatakuwa hivi hivi nitakujibu lakini kama yatabadilika kuwa mazuri kwetu nadhan kutakuwa hakuna haja ya kujibu swali lako.Ile forward kali iliyoitungua Azam goli 3 vp tena? Mkuu Masuke?
Wakati wa mapumziko, viongozi wa simba wameonekana wakigawa mlungula. Sitoshangaa wakishinda goli nyingi.
Hawa Polic wanataka kuharibu Sherehe yangu sasa
Katika soka, hii post yako tunaiita UPUUZI.
Wivu huo.
Mkibaguliwa nyie mnalalamika, Yanga ni timu ya wananchi, kwa mujibu wa historia.