Yanga vs Mgambo JKT, kutoka Uwanja wa Taifa

Yanga vs Mgambo JKT, kutoka Uwanja wa Taifa

yanga 3 - 0 mgambo. pasi imetoka kwa oscar joshua na tegete akafunga goli. mia
 
dakika ni ya 37 kipindi cha pili.
YANGA 3 - 0 MGAMBO JKT. mia
 
Mgambo wanafurukuta kutafuta la kufutia machozi
 
Mchezaji wa mgambo kalimwa red kumchezea rafu mbuyu twitte
 
mchezaji wa mgambo jkt salum mlima kamchezea madhambi mbui twite na kupewa kadi nyekundu hapo hapo. mia
 
Kesho Azam na Costal Union uwanja wa Chamazi
 
yanga inaongoza usukani wa ligi kuu tanzania kwa uwiano wa magoli. yanga amefunga magoli 21 na simba amefunga magoli 20. yanga amebakiza mechi za coastal union na azam wakati simba imebakiza michezo ya mtibwa na toto africa. kocha wa zamani wa azam kashaanza kazi. mia
 
Back
Top Bottom