ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
mwache aende zake hajui humu tunatukanana halafu mwisho wa siku marafiki achana na huyo..Umekosea jukwaa, ondoka haraka sana, huku hatuna siasa wala matusi.
mwache aende zake hajui humu tunatukanana halafu mwisho wa siku marafiki achana na huyo..Umekosea jukwaa, ondoka haraka sana, huku hatuna siasa wala matusi.
atoe njano mpira uendelee vizuri..ulitaka muamuzi afanyeje kwa mfano.
kweli yanga noma hadi red mnatoa duu...
yawezekana ikawa ndio hii kwa dar nimeipata kwenye 98.50 fm ila naona kipindi cha pili wanapata shida kuunga matangazo uwanja wa taifa wanapiga bolingo tu sasaMBM Radio wanatangaza sasa cjui inashika pote au kanda ya kati tuu.
Kanda ya kati tunaipata kwa 91.20
Kwa mwendo huu nafasi yenu ya pili lazima muitetee hakuna wa kuwanyang'anya.Brian Umony anaipatia Azam FC goli la pili
atoe njano mpira uendelee vizuri..
Dakika ni ya 56 Yanga 1 Mbeya City 0..sanaa ya uchoraji na mapambo, ndo kipindi kipo kwa hewa muda huu.
sio mbaya ni mpira tu ila chamazi wakata miwa wa kagera shughuli wanayo...Yeah, ametoa yellow huku akiwa amempa kadi hiyo hiyo dak. 39; yellow+yellow=red.
kila kosa lina adhabu yake stahiki, mlishaanza kutoa sababu toka jana kuwa Manji kawapa hongo sasa mmehamia kwenye kadi, subirini timu ya wenye hii INJI wawakaribishe vijana Daslaaam.atoe njano mpira uendelee vizuri..
87.50 MHz : Yanga 1 - 0 Mbeya City
Umekosea jukwaa, ondoka haraka sana, huku hatuna siasa wala matusi.
ndio mkuuu...Kipindi ni cha pili wakuu