Yanga vs Mbeya City Council LIVE Updates.

Yanga vs Mbeya City Council LIVE Updates.

Haraf hawa mcc si ndio walio tufanyiaga fujo kule kwao?
 
Utasubiri sana kwani pumzi inacheza namba ngapi? lazima muwe wapole leo, mjitahidi msije poteza nafasi ya 3 isiyo na mwenyewe maana ya pili piga ua ni ya Azam ndio ubingwa wao unapoishia.

Hahahahaaa umemjibu vizuri sana. Mwache asubiri meli ubungo, wakati Yanga leo tunachukua point zetu 3.
 
Kuna matumaini yakurudisha goli?
kitendo cha Mbeya City kucheza pungufu.....ni advantage kwa Yanga SC kuibuka na ushindi leo...matumia ya goli kurudishwa ni mdogo mno ukizangatia kwamba na Hamis Kiiza yuko ndani ya nyumba akisaidiana na Ngassa ni presha tupu kwenye lango la Mbeya City.
 
Hahahahaaa umemjibu vizuri sana. Mwache asubiri meli ubungo, wakati Yanga leo tunachukua point zetu 3.
nakupendaa sana hasa hizi bisto
avatar197361_1.gif
 
Kipindi cha pili kilishaanza young Africans 1 Mbeya City 0,Mrisho Ngassa dakika ya 16.
 
kitendo cha Mbeya City kucheza pungufu.....ni advantage kwa Yanga SC kuibuka na ushindi leo...matumia ya goli kurudishwa ni mdogo mno ukizangatia kwamba na Hamis Kiiza yuko ndani ya nyumba akisaidiana na Ngassa ni presha tupu kwenye lango la Mbeya City.
hawa jamaa ni kuwasubiri dk za mwisho kabisa ndio tujue yanga kashinda au la maana hata hiyo red ni juhudi tu za kulinda point tatu..:dance::dance:
 
kitendo cha mbeya city kucheza pungufu.....ni advantage kwa yanga sc kuibuka na ushindi leo...matumia ya goli kurudishwa ni mdogo mno ukizangatia kwamba na hamis kiiza yuko ndani ya nyumba akisaidiana na ngassa ni presha tupu kwenye lango la mbeya city.

asante mkuu, pamoja sana.
 
Dakika ya 64, wanaingia Juma Abdul na Hamis Kiiza kuchukua nafasi za Didier Kavumbagu na Mbuyu Twite
 
Back
Top Bottom