Yanga vs Mbeya City Council LIVE Updates.

Yanga vs Mbeya City Council LIVE Updates.

kitendo cha Mbeya City kucheza pungufu.....ni advantage kwa Yanga SC kuibuka na ushindi leo...matumia ya goli kurudishwa ni mdogo mno ukizangatia kwamba na Hamis Kiiza yuko ndani ya nyumba akisaidiana na Ngassa ni presha tupu kwenye lango la Mbeya City.
hizi ni habar njema kwang
 
Hawa watangazaji wa redio zetu kelele tu.
 
Forward line ya Yanga bado, kocha awanoe vijana, tumekosa magoli mengi sana.
 
Dakika ya 74
Hamis Friday Kiiza anakosa nafasi ya wazi kabisa kuipatia timu yake goli la pili!
 
Goli la Hamis Kiiza limekataliwa kibendera kupeperushwa juuu....ameotea.dakika ni ya 84 mashambulizi ya Yanga FC yamechachamaa kwa Mbeya City
 
gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo Jabir Aziz Stima anaifungia Azam FC goli la nne
Azam FC 4-0 Kagera Sugar
 
Back
Top Bottom