KIJIJI CHA HAKI
Senior Member
- Apr 10, 2012
- 101
- 17
nidakika ya ngapi wakuu?
Hili Jipu linatakiwa litumbuliwe.
Nan anapenda kusikiliza majungu.heli yao hao walio jitambua na kuacha kusikiliza upuuzi huo.Hapa mbeya watu wameyapotezea maccm wapo na timu yao pendwa mbeja city, ila mi hapana nipo na yanga
....bora tuendelee kuiona Azam ikiwa kileleni. Siyo hao watalii wa Uturuki.
Safi...Limeshatumbuliwa!!
kagera kishakuangusha tatizo lipo kwa mbeya city huwa hawakati tamaa hata kidogo utasikia tu wamesawazisha ila kagera pole zake..Hawa Mbeya City na Kagera Sugar wanaelekea kuniangusha.
Leo Mbeya City na wanaowa'support hawataamini
Unaangalia tv abood?
Safi...
wadau radio gani inatangaza..?
wadau radio gani inatangaza..?
Nan anapenda kusikiliza majungu.heli yao hao walio jitambua na kuacha kusikiliza upuuzi huo.