Yanga vs Mbeya City Council LIVE Updates.

Yanga vs Mbeya City Council LIVE Updates.

Hongera yanga kwa ushindi
vijana wa mbeya city wamefanya kosa kuruhusu goli la mapema.
 
Kwa mwendo huu nafasi yenu ya pili lazima muitetee hakuna wa kuwanyang'anya.
nashukuru kwa kunipa ubingwa kwani mki droo tu hali itakuwa ngu sana kwangu ila mfungeni mbeya city ili niwe bingwa vizuri..
 
kesho magazeti sasa hutaona habari ya azam fc hata kidogo ni yanga tu..

hongera azam fc na yanga kwa ushindi...
 
Vijana wa mbeya city wamejituma,
tusubili azam na Simba siku wakija sokoine tuwakalishe.
 
Last edited by a moderator:
sasa bingwa rasmi ni azam fc msimu huu kazi nzuri sana mmefanya vijana wa uturuki..

Kazeni uzi. Japo Simba siipendi, Azam siipendi zaidi. Kama Yanga tutashindwa, ni afadhali bingwa awe Simba kuliko Azam, itaniuma sana.
 
Back
Top Bottom