Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,358
- 108,494
Mpira umeisha?
Mbona unauliza kwa uoga hivyo hahaha...
Mpira umeisha?
mda mwingine mjiamini,msisafirie nyota za wenzenu
Sasa mbona umeweka matokeo yanayokera? Si vizuri Mkuu. Kuna Wakuu hawajafuatilia uzi wote wakiona post yako wataamini kuwa MCC imeshinda wakati siyo kweli. MCC kaacha doa jekundu katika shuka nyeupe, 'shangazi' yake Simba SC kashuhudia muziki wa Mwanaume Young Africans SC.
utazoea tu..:dance::dance::dance:Kazeni uzi. Japo Simba siipendi, Azam siipendi zaidi. Kama Yanga tutashindwa, ni afadhali bingwa awe Simba kuliko Azam, itaniuma sana.
utazoea tu..:dance::dance::dance: