Yanga vs Mbeya City Council LIVE Updates.

Yanga vs Mbeya City Council LIVE Updates.

Huyo Kavumbagu anasubiri nn kufanya mambo kama ya Uturuki

Kila jambo na wakati wake, muda ukifika atafanya mambo yake kama ilivyoamriwa. Ee Mungu ibariki timu yako ya Young Africans Sports Club.
 
MBM Radio wanatangaza sasa cjui inashika pote au kanda ya kati tuu.

Kanda ya kati tunaipata kwa 91.20
 
Na UHURU FM, nao wamejiunga kama vp unaweza kuweka
 
tupen matokeo jaman dah...... Watu 8 nitendee haki
 
Last edited by a moderator:
Mchezaji wa mbeya city amepewa kadi nyekundu, Stevin Masanda
 
DUH....! Ila tutarejea tu maana hawana pumzi hawa yanga.
Utasubiri sana kwani pumzi inacheza namba ngapi? lazima muwe wapole leo, mjitahidi msije poteza nafasi ya 3 isiyo na mwenyewe maana ya pili piga ua ni ya Azam ndio ubingwa wao unapoishia.
 
Utasubiri sana kwani pumzi inacheza namba ngapi? lazima muwe wapole leo, mjitahidi msije poteza nafasi ya 3 isiyo na mwenyewe maana ya pili piga ua ni ya Azam ndio ubingwa wao unapoishia.

dk 50 azam fc 2 - 0 kagera zote umony
 
baada ya kuhangaika kutafuta radio nimepata hizi frequency kwa DAR 98.50 fm sijui radio gani ..naona wana rusha hii mechi ndio kipindi cha pili..
 
Back
Top Bottom