Yanga vs Mbeya City Council LIVE Updates.

Yanga vs Mbeya City Council LIVE Updates.

Watu 8 upo? mi nipo hapa nasubiaria ushindi wetu il vijana wa mbeya warud bila kusemeshana kwenye vicoster vyao
 
Last edited by a moderator:
Huku chamazi Brian Umony kashaweka kambani Azam FC 1-0 Kagera dk 11
 
Mkuu we mbinafsi sana yani umeona kuweka updates hapa utaonekana hujafanya kazi mpaka uanzishe thread nyingine?!

Mbona mnazianzishaga hapa mnaziiacha sisi tunaupdates?!

Acheni ubinafsi huo!
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/597706-live-updates-02-02-2014-yanga-vs-mbeya-city-4.html
Tatizo yako imekaa jukwaa lisilo mkuu, watu tumezoea huku.
 
wapo wanashuhudia yanga ikifungwa..
77187_619364934783824_2001895136_n.jpg


dk 20 yanga 1 - 0 MCC Ngassa
 
Watu 8 upo? mi nipo hapa nasubiaria ushindi wetu il vijana wa mbeya warud bila kusemeshana kwenye vicoster vyao

Nipo mkuu,

MCC huu ndio mwanzo wa mwisho kwao...
 
Last edited by a moderator:
Hivi redio zote zimehamia kwenye mahadhimisho ya CCM.
 
Waongeze na lapili na latatu walud kwao wakalime mpunga.
 
Back
Top Bottom