Yanga vs Mbeya City Council LIVE Updates.

Yanga vs Mbeya City Council LIVE Updates.

Ni mapema mno,wanaweza kusawazisha na kuongeza.
 
mbeya city 4 yanga 2..mwisho wa mchezo..kutangulia c kufika..mchezo ndo kwanza mpyaa
ndaga fijo bhanafyale kambi yenu ya MWAKALELI safi sana si bagamoyo wala uturuki
 
Hawa Mbeya City na Kagera Sugar wanaelekea kuniangusha.
 
mbeya city 4 yanga 2..mwisho wa mchezo..kutangulia c kufika..mchezo ndo kwanza mpyaa
ndaga fijo bhanafyale kambi yenu ya MWAKALELI safi sana si bagamoyo wala uturuki

Acha kuota mchana amka wewe sio usiku huu.
 
Samahani wakwrtu mbeya leo nipo kwenye timu iliyo nilea yanga ni umoja wa mataifa
 
Hapa mbeya watu wameyapotezea maccm wapo na timu yao pendwa mbeja city, ila mi hapana nipo na yanga
 
Leo Mbeya City na wanaowa'support hawataamini
 
Back
Top Bottom