Yanga vs Mbeya City Council LIVE Updates.

Yanga vs Mbeya City Council LIVE Updates.

Naona Dida mdogo'mdogo anamaliza zama za Kaseja
 
Eee Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema uishie mahali pa juu palipoinuka, nakuja mbele zako mimi mwanao nikiwa na ombi la kwamba uwasaidie Mbeya City na Yanga wapate sare ili kusiwe na fujo kama zilizotokea uwanja wa Sokoine kule Mbeya, kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amen.
 
Eee Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema uishie mahali pa juu palipoinuka, nakuja mbele zako mimi mwanao nikiwa na ombi la kwamba uwasaidie Mbeya City na Yanga wapate sare ili kusiwe na fujo kama zilizotokea uwanja wa Sokoine kule Mbeya, kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amen.

Dua la kuku hili halimpatwi mwewe
 
HAWA MCC ndo walimfukuzisha yule kocha mwingine wa Yanga.
 
Wadau mapema sana tumefika uwanjani...hali ni ya Joto nadhan hali hii ni mbaya sana kwa Yanga hasa kwa kuwa wamezoea Baridi huko Uturuky na pia hawa bhanyambala naaambiwa huko kwao Jijin Mbeya kuna baridi sana....kwa hiyo hali si nzur kwa team zote. nmekaa sehemu maridadi kabisa niweze kuangalia pambano hili lenye upinzan mkubwa sana.sijafahamu kwa nini lakin week hii nzima limekuwa gumzo. hapa naona washabik wa MCC wanaingia kwa makundi na jersey za team yao. na pia nawaona Yanga mmoja mmoja wakiingia.
ninayewaletea Live update ni mimi mwanajamii mwenzenu Chizi Maarifa aka Mti Mkavuhauchimbwi Dawa. tutazidi kupashana habari za mchezo huu.

UPDATES...

Bado...kuna hali ya Tensio sijui kwa kiswahili neno hilo..lakini washabiki wamefika wengi hasa wa MCC na filatu vyao....naambiwa zaidi ya washabiki 1000 wametoka MBY kuja kuishabikia team yao. Yanga walienda Bwagamoyo kupiga kambi ili kuikabili team hii ya wabishi wa kutoka mbeya. sasa Yanga wana advantages mbili maana walipiga kambi Uturuki na Pia sasa Bagamoyo hivyo wakichanganya mambo ya huko leo ni balaa kabisa.

Neno tension kwa mazingira kama haya maana yake ni hofu.
 
ndio hao hao..

Mkuu we mbinafsi sana yani umeona kuweka updates hapa utaonekana hujafanya kazi mpaka uanzishe thread nyingine?!

Mbona mnazianzishaga hapa mnaziiacha sisi tunaupdates?!

Acheni ubinafsi huo!
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/597706-live-updates-02-02-2014-yanga-vs-mbeya-city-4.html
 
Kwani yanga ndo nini? Ni SACCOS au ni shule ya seconday?
 
anselm nashukuru kwa kunisahihisha but nadhan soon baada ya mech ya MCC na yanga Brandts mambo yalianza kwenda mrama na Yanga walisahahu kuwa walimpokea kwa Mbwembwe sana yule kocha. asante kwa kunirekebisha.
 
Kipa kadaka shuti la moto la Didie Kavumbagu kaumia tumbo
 
Back
Top Bottom