Yanga vs Azam

Mtujuze kwa kuzingatia misingi ya kiuandishi nasi tu enjoy ingawa tupo mbali
 
Hongera yebo yebo....................

Mi sikutegemea wala kuwazia Azam wataifunga Yanga leo, hata baada ya kutangulia kupata bao.
Unajua kwanini

Kwanza Azam haina kawaida ya kufunga Yanga
Pili hawakuwa ktk kile kiwango walichoifunga Simba 3 - 2
Tatu staili yao ya kushambulia kwa kumtegemea Ngassa (ndio Messi wao) mchezaji ambaye Yanga wanamjua mpaka unyayo inawaponza sana
 
Back
Top Bottom