WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Wala siwezi kuwa na wivu kwa kuifunga Polisi, mngekuwa mmeifunga timu nyingine kama Mtibwa au Kagera Sugar magoli ya haraka haraka hivyo ndo kidooogo ingenifikirisha.
Ukiondoa matokeo, kiufundi hakuna tofauti yoyote kati ya Polisi na Yanga
hivi yanga ni yangapi kwenye msimamo wa ligi maanaona magoli yameanza kutafutwa kwa guvu, refa wape penalt nyingine..
Chamazi hali ikoje huko?
Kwa taarifa yako kufunga magoli ni sehemu ya ufundi hivyo kuna tofauti hapo.
Chamazi jamani,tupeni matokeo ya Chamazi
Subiri mechi yenu Jumamosi. Tunahitaji pt 3 na siyo ufundi. Ingektwa ufundi basi Chelsea asingechukua ubingwa wa kombe la UEEA angepewa Barcelona. Be informed accordingly.
Anachanganya habari za bongo na ulaya kuongeza radha!!Sikuelewi unazungumzia nini hapa
Wale watoto wa Ruvu wabaya sana wale,mimi naamini team yeyote inayoisumbua Yanga hiyo ni noumar...ndo kinachowakuta Azam sasa hvChamazi bado ni moja kwa moja, na Ruvu shooting wanashambulia kama nyuki.
Chamazi jamani,tupeni matokeo ya Chamazi
half time ba Masuke tuna 2-0
Kwa hiyo Simba unaamini ni noma pia au hiyo imani yako ni kwa timu zingine tu?Wale watoto wa Ruvu wabaya sana wale,mimi naamini team yeyote inayoisumbua Yanga hiyo ni noumar...ndo kinachowakuta Azam sasa hv
Azam 1-1 Ruvu Shooting, Mtibwa 0-0 Kagera Sugar, Coastal 0-0 African Lyon