Yanga v/s Polisi morogoro National Stadium Live!

Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee:Kushoto atakuwepo Nurdin Bakari,Kulia Frank Domayo,tisa na kumi Tegete na Kavumbagu,nane Haruna Niyonzima,sita Chuji,Tano Canavaro,nne Mbuyu Twite kiboko ya "Mnyama",tatu Mwasika,mbili Juma Abdul na Golini kama kawa Yaw Berko:halafu wakati huo nje watakuwa wanasubiri,Nizar,Shamte Ally,Oscar,Omega Seme na Ladislaus Mbogo:Kumbuka Hamis Kiiza na Said Bahanuz wanagonjwa!!!!!!

sasa unadhani kwa kikosi hiki kwa nini hao wakamatji watu ovyo wasilale 5-1?
Tatizo la timu ya Yanga ni watu wa magazetini sana,ninachokijua mimi na mtu yeyote alieangalia ile head to head kati ya Yanga na Simba ataona ukweli upo wazi kwamba Simba ni timu nzuri sana zaidi ya Yanga na mwaka huu itarudia yaleyale ya kumaliza msimu bila kufungwa na kuchukua ubingwa na Yanga wataendelea kukosa michuano ya kimataifa kwa mara ya pili mfululizo na kucheza NDONDO tu coz simba itakua ya kwanza ya pili ni Azam na tatu anaweza kuwa YEBOYEBO,mtibwa au Costal union......
 
hebu tupishe hapa nenda benki kutabiri.
 
...mpira unaochezwa hauonyeshi ufundi wowote kwa timu zote...kwa upande wa Yanga Msuva, Niyonzima na Twite wanacheza vizuri.
 
Nafuatilia mkuu naombea Azam wapigwe, sema tatizo ni kwamba utashi sio farasi.

tunataka kukaa juu na hawa jamaa wanazingua mkuu Jmoo nitawahi mapema kwenda kushangalia ukaaji wa juu vizuri kabisa..
 
Ha ha ha ha a, mkuu vipi? Utabiri wako na wake umetofautiana nini?

Toa makopo yako hapa wewe nenda kashangilie Simba yako jumamosi mtanyweshwa maziwa na Azam we subiri,sisi tunasonga mbele na lazima tuwakute hapo juu mmesimama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom