MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Klabu ya Yanga imemrudisha Dar es Salaam Nahodha wake Raia wa Ghana Lamine Moro kwa Utovu wa Nidhamu.
Chanzo: SportsarenaTZ
Hata hivyo Taarifa za ndani kabisa ambazo Krav Maga nimezipata baada ya Kuviulizia Vyanzo vyangu aminifu ndani ya Klabu ya Yanga vimesema Nahodha huyo ametimuliwa kwa haya Mambo makuu Mawili tu....
1. Deni lake la Pesa anazozidai mno za Mkataba wake baada ya Kusajili tena Yanga SC
2. Kauli yake ya Kuusema Uongozi wa Yanga SC kuwa hakukuwa na sababu ya Kutokucheza Mechi yao na Simba SC iliyoota mbawa.
Wakati Nahodha Lamine Moro akilianzisha hili tayari kuna Fukuto lingine baina ya Yanga SC Ceremonial Captain Mnyarwanda Haruna Niyonzima dhidi ya Kocha wake Nabi na Yeye kutaka Kuondoka Yanga SC baada ya Kuchoshwa na yanayoendelea.
Ni imani Kubwa Watangazaji na Wachambuzi wa Michezo wa Media Kubwa nchini za Clouds FM, Efm Radio, Wasafi FM na EA Radio kuanzia Jumatatu mtalizungumzia hili sana na kulipa Airtime ya Kutosha Kulijadili kama ambavyo huwa mnashadadia Mambo ya Simba SC ambayo hata hivyo mengi huwa ni ya Uwongo, Uzushi na Chuki.