Yanga SC yamtimua Nahodha wake Lamine Moro kambini Mtwara kwa Utovu wa Nidhamu ufuatao usiovumilika

Niyonzima kuchoshwa yanayoendelea na kocha ni unafiki ,muda mfupi tu kocha Nabi yupo na yanga.anapaswa kuchoshwa na uongozi.
Niyonzima kipenzi Cha yanga muda kustaafu umewadia

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Klabu ya Yanga imemrudisha Dar es Salaam Nahodha wake Raia wa Ghana Lamine Moro kwa Utovu wa Nidhamu.

Chanzo: SportsarenaTZ

Hata hivyo Taarifa za ndani kabisa ambazo Krav Maga nimezipata baada ya Kuviulizia Vyanzo vyangu aminifu ndani ya Klabu ya Yanga vimesema Nahodha huyo ametimuliwa kwa haya Mambo makuu Mawili tu....

1. Deni lake la Pesa anazozidai mno za Mkataba wake baada ya Kusajili tena Yanga SC

2. Kauli yake ya Kuusema Uongozi wa Yanga SC kuwa hakukuwa na sababu ya Kutokucheza Mechi yao na Simba SC iliyoota mbawa.

Wakati Nahodha Lamine Moro akilianzisha hili tayari kuna Fukuto lingine baina ya Yanga SC Ceremonial Captain Mnyarwanda Haruna Niyonzima dhidi ya Kocha wake Nabi na Yeye kutaka Kuondoka Yanga SC baada ya Kuchoshwa na yanayoendelea.

Ni imani Kubwa Watangazaji na Wachambuzi wa Michezo wa Media Kubwa nchini za Clouds FM, Efm Radio, Wasafi FM na EA Radio kuanzia Jumatatu mtalizungumzia hili sana na kulipa Airtime ya Kutosha Kulijadili kama ambavyo huwa mnashadadia Mambo ya Simba SC ambayo hata hivyo mengi huwa ni ya Uwongo, Uzushi na Chuki.
Gentamycin huyo
 
YANGA lazma wafungwe leo, ushahidi usion na shaka unaonyesha WACHEZAJI WENGI WALIVUNJA JUNGU JANA, wale waliokuwa wamefunga walifungulia na madem wa MTWARA, na hivyo walipiga show na hawana nguvu isipokuwa wakristo ambao wao hawakufunga .
its obvious NAMUNGO watashinda mechi.
Ni kweli Malalamiko FC watafungwa lakini hoja yako ya kuvunja jungu siiafiki, maana hata Wachezaji wa Namungo nao walivunja 'Jungu'
 
Yanga SC tokea asajiliwe Saido Ntibazonkinza kumekuwa na Matabaka kwa Wachezaji na mpaka wengine Kutukanana Kambini kama Kaseke na huyu huyu Ntibazonkinza.
Mara Lamin Moro! Mara Niyonzima! Mara Ntibazonkiza, mara Kaseke!! Shida yako ni nini hasa wewe mbumbumbu?

Hivi ni kwa nini mnapenda sana kusikia Yanga ikisemwa na wachambuzi kama hiyo timu yenu ya mikia fc?
 
Kuna Moto mkubwa sana huko Kambini Yanga SC Ndugu. Nawasubiri Watangazaji Wanafiki akina Kitenge, Mkule, Njenge, Mkumba, Mhando na Goza Chuma bila kuwasahau Wachambuzi Wanafiki akina George Job, Shaffih Dauda na Jemedari Said nao niwasikie watasemaje katika hili na wasikazanie Kushadadia tu yaihusuyo Simba SC.
Unaonekana unavutiwa sana na stori za umbea na majungu! Halafu aliyekupa mamlaka ya kuwapangia watu cha kusema ni nani?

Ni yule mwizi wa mali za ccm?
 
Klabu ya Yanga imemrudisha Dar es Salaam Nahodha wake Raia wa Ghana Lamine Moro kwa Utovu wa Nidhamu.

Chanzo: SportsarenaTZ

Hata hivyo Taarifa za ndani kabisa ambazo Krav Maga nimezipata baada ya Kuviulizia Vyanzo vyangu aminifu ndani ya Klabu ya Yanga vimesema Nahodha huyo ametimuliwa kwa haya Mambo makuu Mawili tu....

1. Deni lake la Pesa anazozidai mno za Mkataba wake baada ya Kusajili tena Yanga SC

2. Kauli yake ya Kuusema Uongozi wa Yanga SC kuwa hakukuwa na sababu ya Kutokucheza Mechi yao na Simba SC iliyoota mbawa.

Wakati Nahodha Lamine Moro akilianzisha hili tayari kuna Fukuto lingine baina ya Yanga SC Ceremonial Captain Mnyarwanda Haruna Niyonzima dhidi ya Kocha wake Nabi na Yeye kutaka Kuondoka Yanga SC baada ya Kuchoshwa na yanayoendelea.

Ni imani Kubwa Watangazaji na Wachambuzi wa Michezo wa Media Kubwa nchini za Clouds FM, Efm Radio, Wasafi FM na EA Radio kuanzia Jumatatu mtalizungumzia hili sana na kulipa Airtime ya Kutosha Kulijadili kama ambavyo huwa mnashadadia Mambo ya Simba SC ambayo hata hivyo mengi huwa ni ya Uwongo, Uzushi na Chuki.
Walishikana mashati na kocha wake wakkataka kuzichapa kidogo
 
Wametumia KANUNI ipi?
 
Back
Top Bottom