Vyura wapumbafu Sana! Tumehangaika Sana kuwabeba!I
Nadhani vyura πΈ πΈ (baridiii stars a.k.a Kwasukwasu fc) mmeona CACL ilivyo Sasa zile kebehi zenu kwa Simba msimu uliopita tutaona Kama mtabaki nazo.
Wachunguze mabingwa wote ugenini wanacheza kawaida ila home unakimbizwa hadi unaomba mchezo uishe tu maana ni kipigo tuMm nasema tena ni yanga damu ila mpira tumecheza kadili ya uwezo wetu. Mpira wa wenu Simba nimeuona hakuna timu pale, wale wenzenu walikuwa sirious ila nyie mnalukaluka uwanjani. To me bora yanga imecheza mpira wa kuliko nyie mliokwenda kupiga tizi kwenye viwanja vya watu.
Yanga imecheza mpira imefungwa mapema mpira gani huo wkt HT makirikiri walikuwa wamemiliki kuliko yanga hakafu unasema simba ambaye hakufungwa ugenini unasema hamna kitu umetumia kipeuo cha ngapi aisee?? Simba kafanikiwa sana ksb hajaruhusu goli ila yanga 1-1 nyumbani ni km mmefungwa 1-0 so tusubiri tuone nani atavuka hatua hii kweli yanga mna timu nzuri kuliko simba lakini atakayevuka hapo ndo bora maana nyie mnataka kusifiwa tu.Mm nasema tena ni yanga damu ila mpira tumecheza kadili ya uwezo wetu. Mpira wa wenu Simba nimeuona hakuna timu pale, wale wenzenu walikuwa sirious ila nyie mnalukaluka uwanjani. To me bora yanga imecheza mpira wa kuliko nyie mliokwenda kupiga tizi kwenye viwanja vya watu.
Penati sport clubHayawahusu.
Shadeeya miezi kama hii huwa anaenda andaa mashamba kwa ajili ya msimu wa kulima.
Haujaisha?View attachment 1177750
Mpira unaendelea
Kumbe na wewe ni mkia kama mikia wenzako hv ata nikuwamba ngoma ndo mnawamba hvyo? Hv kweli ukuona mlivyo kuwa mnalukaluka uwanjani? labda mkaloge ila kwa mpira ule ata mjae taifa wale jamaa wakicheza vile walivyo cheza jana wakaweka na umakini wa kutumia nafasi sioni mkiwafunga.Yanga imecheza mpira imefungwa mapema mpira gani huo wkt HT makirikiri walikuwa wamemiliki kuliko yanga hakafu unasema simba ambaye hakufungwa ugenini unasema hamna kitu umetumia kipeuo cha ngapi aisee?? Simba kafanikiwa sana ksb hajaruhusu goli ila yanga 1-1 nyumbani ni km mmefungwa 1-0 so tusubiri tuone nani atavuka hatua hii kweli yanga mna timu nzuri kuliko simba lakini atakayevuka hapo ndo bora maana nyie mnataka kusifiwa tu.
Mkuu ata kama ni ugenini lakini ucheze mpira watu wakuelewe. Hivi Rollers awakuwa ugenini mbona wamecheza mpira wakueleweka? Yani simba sijui wamekutwa na nini mungu wangu full kudonoa.Si wapo ugenini ndo maana wamecheza hivyo?au we ulitaka wafungunge wale 5 Kama za msimu uliopita.
Ushabiki weka pembeni ushaziona time za Africa kaskazini zinavyocheza zikiwa ugenini? Yanga angalieni udhaifu wenu Simba Jana wametekeleza game plan yao wale jamaa uwezo wa kuifunga Simba hawana hapa Dar hazipungui 3Kumbe na wewe ni mkia kama mikia wenzako hv ata nikuwamba ngoma ndo mnawamba hvyo? Hv kweli ukuona mlivyo kuwa mnalukaluka uwanjani? labda mkaloge ila kwa mpira ule ata mjae taifa wale jamaa wakicheza vile walivyo cheza jana wakaweka na umakini wa kutumia nafasi sioni mkiwafunga.
Much just reserve your comment wale jamaa wakifika kwenye uwanja mzuri kama taifa I swear to God ata mlete mkabe kuanzia mwenyekiti, wajumbe wa kijiji mpaka wananchi kutoboa itakuwa shida kama kuulizia bikira wodi ya wazazi.Ushabiki weka pembeni ushaziona time za Africa kaskazini zinavyocheza zikiwa ugenini? Yanga angalieni udhaifu wenu Simba Jana wametekeleza game plan yao wale jamaa uwezo wa kuifunga Simba hawana hapa Dar hazipungui 3
Mtani nashangaa mnapotuchukulia kwamba sie tayari tushatoka.Shadeeya miezi kama hii huwa anaenda andaa mashamba kwa ajili ya msimu wa kulima.
Na mpole in advance kwa club yake pendwa ya PENATI SPORT CLUB. Kutoa sare ya mmoja mmoja nyumbani.
Kimehesabu wameshatoka. Wajiandae na mechi za lipuli na ndanda. Hakuna namna.
Thubutu yao!Much just reserve your comment wale jamaa wakifika kwenye uwanja mzuri kama taifa I swear to God ata mlete mkabe kuanzia mwenyekiti, wajumbe wa kijiji mpaka wananchi kutoboa itakuwa shida kama kuulizia bikira wodi ya wazazi.
Kuliko Ah Ahly, AS vita, Nkana, JS Suoura?another pumba from YangaMuch just reserve your comment wale jamaa wakifika kwenye uwanja mzuri kama taifa I swear to God ata mlete mkabe kuanzia mwenyekiti, wajumbe wa kijiji mpaka wananchi kutoboa itakuwa shida kama kuulizia bikira wodi ya wazazi.
Hahaha umeshatoka shambani kwanza.Mtani nashangaa mnapotuchukulia kwamba sie tayari tushatoka.
Inamaa nyie mbele yenu mumeshaijua au ndio unajifariji tu na kujifanya ujui nini kimetokea huko Msumbiji au ndio mnajiona hawaezi pata goli hapa Tz.