Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 14,975
- 15,904
Draw nyumbani 😯Tumetoka draw. Aibu zenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Draw nyumbani 😯Tumetoka draw. Aibu zenu.
Hayawahusu.Draw nyumbani 😯
Nini tenaToka Apa!
Kwa timu gani? Unadhani wakija hapa watacheza mpira kama walivyo cheza kwao This is Simba hapa wanakuja kupigika kwanza wameshakata tamaa wanakuja machinjioniNyie hapa mtakuja kufa.
Alisikika mlevi mmoja akisema ivyoMikia vipi lakini?Ndo mwanzo tu. Lazima tutashinda kule kwao. Mtuache sisi.Nyie wenyewe leo mmecheza hovyo hovyo.
huyu dem anajua kutiana balaa!!!!
Mnafurahia suluhu ya magoli nyumban kweli nyie hamna tofauti Na manyumbuuuuuzafadhari sasa tungefungwa mikia wangeongea sana
Kwanza mpira yanga tumecheza tofauti na msimu uliopita. Unajuwa ushabiki tuweke pembeni ila timu yenye 80% ya wachezaji wapya first eleven alafu kila siku unaona mabadiliko postive kwenye timu yako why shouldn't u be happy? Muimu mechi ya marejeano nyie mikia kuweni makini vinginevyo mtafungwa mpaka mfe.
Sio ndio uwezo wetu sema ndio uwezo wenu vyura mnatoa sare ya magoli nyumbani heheheheWekeni akiba ya maneno mikia....
Soko la bongo ndo uwezo wetu huo.
Si wapo ugenini ndo maana wamecheza hivyo?au we ulitaka wafungunge wale 5 Kama za msimu uliopita.Mm nasema tena ni yanga damu ila mpira tumecheza kadili ya uwezo wetu. Mpira wa wenu Simba nimeuona hakuna timu pale, wale wenzenu walikuwa sirious ila nyie mnalukaluka uwanjani. To me bora yanga imecheza mpira wa kuliko nyie mliokwenda kupiga tizi kwenye viwanja vya watu.
Timu bardiiii leo vipiShadeeya hii ndiyo mwana kulitaka. Mlidhani klabu bingwa ni maji ya kuogelea?
mbona we kwa ulivyocheza leo utaipata tu suluhu ya magoli nyumbaniMnafurahia suluhu ya magoli nyumban kweli nyie hamna tofauti Na manyumbuuuuuz
ile picha uliyoweka pale ni dem wa kino..kama umepiga kapime..namjuaView attachment 1177879Kama huyu?
simba hafiki popote...muda hauongopiNadhani vyura 🐸 🐸 (baridiii stars a.k.a Kwasukwasu fc) mmeona CACL ilivyo Sasa zile kebehi zenu kwa Simba msimu uliopita tutaona Kama mtabaki nazo.
Sawa muda utaongea! Tusubirisimba hafiki popote...muda hauongopi
Si kwa mbeleko zile, Yaani penati kama zote😂😂😂. Rose mhando (nibebee) . Nakusubiri baada ya wiki mbili😂😂😂Mikia vipi lakini?Ndo mwanzo tu. Lazima tutashinda kule kwao. Mtuache sisi.Nyie wenyewe leo mmecheza hovyo hovyo.