Ndio matumaini mliyobakiza kwenye keyboard ila hali halisi mshaiona.Mikia vipi lakini?Ndo mwanzo tu. Lazima tutashinda kule kwao. Mtuache sisi.Nyie wenyewe leo mmecheza hovyo hovyo.
Shadeeya njoo huku wanakusemaShadeeya anachungulia tu
Tumetoka draw. Aibu zenu.Ndio matumaini mliyobakiza kwenye keyboard ila hali halisi mshaiona.
Unasema tuweke ushabiki pembeni alafu bado unatuita mikia hizi akili za makande kabisaKwanza mpira yanga tumecheza tofauti na msimu uliopita. Unajuwa ushabiki tuweke pembeni ila timu yenye 80% ya wachezaji wapya first eleven alafu kila siku unaona mabadiliko postive kwenye timu yako why shouldn't u be happy? Muimu mechi ya marejeano nyie mikia kuweni makini vinginevyo mtafungwa mpaka mfe.
huyu dem anajua kutiana balaa!!!!
Draw nzuri ni ya goalless, kule mnaenda kufaTumetoka draw. Aibu zenu.
na mmakonde akipata goli!?Draw nzuri ni ya goalless, kule mnaenda kufa
Nyie hapa mtakuja kufa.Draw nzuri ni ya goalless, kule mnaenda kufa