Yanga Sc 1 Vs 1 Township Rollers

Herbert Nkuluzi

Herbert Nkuluzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Messages
903
Points
1,000
Herbert Nkuluzi

Herbert Nkuluzi

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2015
903 1,000
Mm nasema tena ni yanga damu ila mpira tumecheza kadili ya uwezo wetu. Mpira wa wenu Simba nimeuona hakuna timu pale, wale wenzenu walikuwa sirious ila nyie mnalukaluka uwanjani. To me bora yanga imecheza mpira wa kuliko nyie mliokwenda kupiga tizi kwenye viwanja vya watu.
Wachunguze mabingwa wote ugenini wanacheza kawaida ila home unakimbizwa hadi unaomba mchezo uishe tu maana ni kipigo tu
Rejea hata Mazembe away huwa ni sare au afungwe 2-1 ukienda Lubumbashi unapigwa 2-0 kupanda juu
 
D

DEAL88

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2016
Messages
750
Points
1,000
D

DEAL88

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2016
750 1,000
Mm nasema tena ni yanga damu ila mpira tumecheza kadili ya uwezo wetu. Mpira wa wenu Simba nimeuona hakuna timu pale, wale wenzenu walikuwa sirious ila nyie mnalukaluka uwanjani. To me bora yanga imecheza mpira wa kuliko nyie mliokwenda kupiga tizi kwenye viwanja vya watu.
Yanga imecheza mpira imefungwa mapema mpira gani huo wkt HT makirikiri walikuwa wamemiliki kuliko yanga hakafu unasema simba ambaye hakufungwa ugenini unasema hamna kitu umetumia kipeuo cha ngapi aisee?? Simba kafanikiwa sana ksb hajaruhusu goli ila yanga 1-1 nyumbani ni km mmefungwa 1-0 so tusubiri tuone nani atavuka hatua hii kweli yanga mna timu nzuri kuliko simba lakini atakayevuka hapo ndo bora maana nyie mnataka kusifiwa tu.
 
Sanchez magoli

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2015
Messages
2,984
Points
2,000
Sanchez magoli

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2015
2,984 2,000
ukhuty tafadhali zile panadol ziweke tayari. Shadeeya pitia hukuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bila ya kumsahau Victoire . Vyura oyeeeee
Shadeeya miezi kama hii huwa anaenda andaa mashamba kwa ajili ya msimu wa kulima.

Na mpole in advance kwa club yake pendwa ya PENATI SPORT CLUB. Kutoa sare ya mmoja mmoja nyumbani.

Kimehesabu wameshatoka. Wajiandae na mechi za lipuli na ndanda. Hakuna namna.
 
Manofu

Manofu

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2018
Messages
1,302
Points
2,000
Manofu

Manofu

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2018
1,302 2,000
Yanga imecheza mpira imefungwa mapema mpira gani huo wkt HT makirikiri walikuwa wamemiliki kuliko yanga hakafu unasema simba ambaye hakufungwa ugenini unasema hamna kitu umetumia kipeuo cha ngapi aisee?? Simba kafanikiwa sana ksb hajaruhusu goli ila yanga 1-1 nyumbani ni km mmefungwa 1-0 so tusubiri tuone nani atavuka hatua hii kweli yanga mna timu nzuri kuliko simba lakini atakayevuka hapo ndo bora maana nyie mnataka kusifiwa tu.
Kumbe na wewe ni mkia kama mikia wenzako hv ata nikuwamba ngoma ndo mnawamba hvyo? Hv kweli ukuona mlivyo kuwa mnalukaluka uwanjani? labda mkaloge ila kwa mpira ule ata mjae taifa wale jamaa wakicheza vile walivyo cheza jana wakaweka na umakini wa kutumia nafasi sioni mkiwafunga.
 
Manofu

Manofu

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2018
Messages
1,302
Points
2,000
Manofu

Manofu

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2018
1,302 2,000
Si wapo ugenini ndo maana wamecheza hivyo?au we ulitaka wafungunge wale 5 Kama za msimu uliopita.
Mkuu ata kama ni ugenini lakini ucheze mpira watu wakuelewe. Hivi Rollers awakuwa ugenini mbona wamecheza mpira wakueleweka? Yani simba sijui wamekutwa na nini mungu wangu full kudonoa.
 
magagafu

magagafu

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2016
Messages
919
Points
1,000
magagafu

magagafu

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2016
919 1,000
Kumbe na wewe ni mkia kama mikia wenzako hv ata nikuwamba ngoma ndo mnawamba hvyo? Hv kweli ukuona mlivyo kuwa mnalukaluka uwanjani? labda mkaloge ila kwa mpira ule ata mjae taifa wale jamaa wakicheza vile walivyo cheza jana wakaweka na umakini wa kutumia nafasi sioni mkiwafunga.
Ushabiki weka pembeni ushaziona time za Africa kaskazini zinavyocheza zikiwa ugenini? Yanga angalieni udhaifu wenu Simba Jana wametekeleza game plan yao wale jamaa uwezo wa kuifunga Simba hawana hapa Dar hazipungui 3
 
Manofu

Manofu

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2018
Messages
1,302
Points
2,000
Manofu

Manofu

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2018
1,302 2,000
Ushabiki weka pembeni ushaziona time za Africa kaskazini zinavyocheza zikiwa ugenini? Yanga angalieni udhaifu wenu Simba Jana wametekeleza game plan yao wale jamaa uwezo wa kuifunga Simba hawana hapa Dar hazipungui 3
Much just reserve your comment wale jamaa wakifika kwenye uwanja mzuri kama taifa I swear to God ata mlete mkabe kuanzia mwenyekiti, wajumbe wa kijiji mpaka wananchi kutoboa itakuwa shida kama kuulizia bikira wodi ya wazazi.
 
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
31,466
Points
2,000
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
31,466 2,000
Shadeeya miezi kama hii huwa anaenda andaa mashamba kwa ajili ya msimu wa kulima.

Na mpole in advance kwa club yake pendwa ya PENATI SPORT CLUB. Kutoa sare ya mmoja mmoja nyumbani.

Kimehesabu wameshatoka. Wajiandae na mechi za lipuli na ndanda. Hakuna namna.
Mtani nashangaa mnapotuchukulia kwamba sie tayari tushatoka.

Inamaa nyie mbele yenu mumeshaijua au ndio unajifariji tu na kujifanya ujui nini kimetokea huko Msumbiji au ndio mnajiona hawaezi pata goli hapa Tz.
 
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
27,141
Points
2,000
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2011
27,141 2,000
Much just reserve your comment wale jamaa wakifika kwenye uwanja mzuri kama taifa I swear to God ata mlete mkabe kuanzia mwenyekiti, wajumbe wa kijiji mpaka wananchi kutoboa itakuwa shida kama kuulizia bikira wodi ya wazazi.
Kuliko Ah Ahly, AS vita, Nkana, JS Suoura?another pumba from Yanga
 
Sanchez magoli

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2015
Messages
2,984
Points
2,000
Sanchez magoli

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2015
2,984 2,000
Mtani nashangaa mnapotuchukulia kwamba sie tayari tushatoka.

Inamaa nyie mbele yenu mumeshaijua au ndio unajifariji tu na kujifanya ujui nini kimetokea huko Msumbiji au ndio mnajiona hawaezi pata goli hapa Tz.
Hahaha umeshatoka shambani kwanza.
 
Forum statistics

Threads 1,334,993
Members 512,162
Posts 32,492,760
Top