Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,048
- 37,489
Maliza huko urudi
Usinitie uchungu bas
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usinitie uchungu bas
Narudi siku si nyingiMaliza huko urudi
Hahaha, hii ni aibu kwa wananchi.
Narudi siku si nyingi
Nimecheeeeka lol. Mana naona umesahahu hadi nlichokwambia.Waooooo umerudi kweny uhalisia
Kwani nakumbuka nikumbushe dadaNimecheeeeka lol. Mana naona umesahahu hadi nlichokwambia.
Mdogo wangu nimeamua nirudi kwenye uhalisia Dada ako. 😂😂😂😂
Na siku zimekwisha narudi mpendwaMaliza huko urudi
😀😀 nilikwambia ukirudi niambie. Ila si ndio tushazungumza kule simuni. Nimekuelewa.Kwani nakumbuka nikumbushe dada
Na siku zimekwisha narudi mpendwa
Oooh kuhus ile ishu poa nimekumbuka😀😀 nilikwambia ukirudi niambie. Ila si ndio tushazungumza kule simuni. Nimekuelewa.
Sawa kakaRudi nyumbani kumenoga!