Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 10,766
- 18,620
Vyura wapumbafu Sana! Tumehangaika Sana kuwabeba!I
Nadhani vyura 🐸 🐸 (baridiii stars a.k.a Kwasukwasu fc) mmeona CACL ilivyo Sasa zile kebehi zenu kwa Simba msimu uliopita tutaona Kama mtabaki nazo.