Yanga Sc 1 Vs 1 Township Rollers

Acha wafungwe,,wameacha kusajili wachezaji wameenda kusajili maandazi,,wacheza mieleka,
 
68656436_858469027885936_4320257145770606592_n.jpg
 
Angalau kipindi hiki chapili Ndugu zetu wameanza kwa presha kdg ..haya hima hima sasa
 
Yanga Tunataka Ushindi Asubuhi Japo Tayari Mmetanguliwa Kwa Goal, Kumbukeni Mko Home Ground.
Tuondoe Bariidii
 
Back
Top Bottom