Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Screenshot_20220206-091933.jpg
 
Kwa hiyo unataka kuwapangia watu namna ya kufurahi? Pengine wanashingilia baada ya mechi kuisha salama bila majeruhi., au furaha kwao uanzia wakipata point 1 na na kuendeleà.
Hapa hujajibu kama mtu anayejua mpira.

Ila usijali imeisha hiyo Mkuu.
 
Mnajinasib Sana Kelele Nyingi Mnatuzomea Vyakutosha Kama Vile Kombe Mlishachukua Au Kama Mshatangazwa Mabingwa
Mzungu Wenu Ndo Kapata Pakuwadanganya Kwa Porojo Zake.

Na Tayari Kwenye Vichwa Vyenu Mshajiaminisha Ubingwa Huu Wenu Na Wale Waarbu Wanahakikisha Kwa Nmna Yeyote Mshinde Ili Msianze Kularuana.
Na Mnadanganyika Na Mwenendo Huu Wa Simba Basi Lazima Mnyanyue Makwapa Yaani Mtakuja Dondoka Walah.
Mtani niseme tu hiki kichambo nimekipokea. Lol 🤣🤣🤣

Vp lakini kheri?
 
Mnajinasib Sana Kelele Nyingi Mnatuzomea Vyakutosha Kama Vile Kombe Mlishachukua Au Kama Mshatangazwa Mabingwa
Mzungu Wenu Ndo Kapata Pakuwadanganya Kwa Porojo Zake.

Na Tayari Kwenye Vichwa Vyenu Mshajiaminisha Ubingwa Huu Wenu Na Wale Waarbu Wanahakikisha Kwa Nmna Yeyote Mshinde Ili Msianze Kularuana.
Na Mnadanganyika Na Mwenendo Huu Wa Simba Basi Lazima Mnyanyue Makwapa Yaani Mtakuja Dondoka Walah.
Ila Mtani hata ungekuwa wewe unaongoza kwa hizo points usingekuwa na kelele? 🤣🤣

Au wenzetu ndo mnaumia sana sababu hamjazowea.
 
Back
Top Bottom